pesa

  1. A

    KERO Hatujalipwa pesa za Korosho mnada wa 8 nA 9 Newala Kitangali

    Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
  2. Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  3. C

    Nina tatizo la kutokulipwa pesa zangu pindi ninapo wakopesha ndugu jamaa na marafiki wa karibu. Imepelekea kuvunja uhusiano wa karibu na hao wakopaji

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums. Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni. Kwenye mada sasa. Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
  4. Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

    Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
  5. Pesa ingekuwa msanii ingetutungia dis track mbaya kuliko ile ya 2pac

    Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
  6. 4

    Kama kuna mtu kachukua pesa za watu huko CHADEMA uchaguzi umeisha kwisha rudisha .

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu, kila mmoja kwa imani yake. Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule, utazitapika, uchaguzi umeishaisha . Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma. Mtajua hamjui.
  7. Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

    Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni: Upwork: Hii ni platform maarufu...
  8. Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
  9. Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

    Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako. Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47. Mugabe alimuoa Grace akiwa anamzidi miaka 40, Mmliki wa Nkatie Burger, burger maarufu sana Afrika...
  10. (Malalamiko)Mtandao wa YAS rudisheni pesa yangu.

    Happy New Year, Mods tafadhari musidelete post yangu. Tarahe 24 Dec 2024 nilikuwa nalipia Netflix Subscription kwa kutumia Mastercard ya MIXX BY YAS lakini kwa bahati mbaya ikawa rejected huku kiwa imetoa ujumbe ufuatao,''Payment declined,please contact your card issuer'' na Uzuri ni...
  11. Sikukuu ni kwa ajili ya watoto na wenye pesa

    ,
  12. Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

    Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi...
  13. Dullsykes amekazia kama unataka wanawake wazuri basi tafuta pesa ama umaarufu.

    Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu. Kuna member humu alishawahi kuandika wanawake wazuri ni kwa ajili ya mwanaume mwenye power binafsi napenda kuwakumbusha...
  14. B

    Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

    Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume. Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
  15. Sitashangaa Lissu akipozwa na Pesa!

    1. Bongo hakuna mkate mgumu mbele ya chai "pesa". 2. Hizi "harakati uchwara" ni njaa tu. 3. Likiwekwa dau mezani kila mtu anawaza TUMBO lake.
  16. Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

    Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini. Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa. Naunga mkono mtazamo wa...
  17. L

    Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
  18. T

    Pesa inayofaa kuacha kwa matumizi ya familia yenye watoto wawili wasiozidi miaka 5

    Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo: Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo...
  19. Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

    Wakuu kuna manzi mmoja anafanya kazi kwenye duka karibu na langu nimemzimika ile laana. Uzuri wa huyu manzi ni ngumu kuuelezea kwa lugha za kibinadamu. Wanawake wote duniani wakichanga uzuri ndo watafikia robo ya uzuri wa huyu manzi. Huwa naenda dukani kwao kupata huduma za kifedha na...
  20. Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…