TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...
Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni...
Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
Wakuu!
Retired FUSO Tlaatlaah
Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano.
Lisu akishindwa unachukua Laki tano.
Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili.
Aliyetayari kwa Mchezo aniambie tucheze. Mwisho tarehe 15
Nasubiri
Mpo salama!
Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.
Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee.
Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao...
Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo...
Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki
Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote.
Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
Je, pesa zako ni baraka au mzigo unaobeba harufu ya maumivu ya wengine?.
NB:Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi mwakajana.
Katika jamii ambayo utajiri hutafsiriwa kama nguvu, pesa mara nyingine hutumika kama silaha ya kudhibiti na kudhalilisha. Lakini utu unaweza kununuliwa? Heshima...
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
Wakuu!
Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'.
Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya Sarafu (Coin) ambayo inatumika katika maluweluwe mengi sana.
Pesa ya Karatasi au Noti...
Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu.
Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
Bado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka jibu vinginevyo kazi imewashinda.
Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo:
Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao haramu, angezimia mbali na kuwakaripia hata kuwachapa.
Pili, hakuwahi kuwa na wala kuingia kanisani...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani?
Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa.
Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa.
Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
Hili limenitokea jana tu!
Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.
Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.
Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums.
Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni.
Kwenye mada sasa.
Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...