pesa taslimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  2. Fascinating

    Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
  3. zerocreys

    Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
  4. M

    US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya A

    Hebu jifunzeni kutoka kwa jirani ili siku nyingine msiwe mnaongea kama wagonjwa wa dementia. ===== US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya Airways. Chris Kiptoo, the Treasury Principal...
  5. Mshuza2

    Asilimia 82.5 ya pesa taslimu iliyopo katika mzunguko ni noti ya shilingi 10000

    Pic credit.The chanzo
  6. Shujaa Mwendazake

    Tetesi: Azam kurudi mezani na Yanga, kumnunua Fei kwa pesa taslimu pamoja na Iddi Nado

    Ndo inaishia hivyo. Kutoka vyanzo vya ndani, licha ya Yanga kurejesha pesa na kudai mkataba uheshimiwe lakini imeonekana na wazi kuwa hali haitakuwa tena shwari kati ya Fei na Wananchi kwa sasa. Azam baada ya kuchokonoa na kuharibu sasa hawana budi kuyamaliza kwa njia sahihi nayo ni kupeleka...
  7. logan007

    Kweli wapo waliopata kazi/ajira kwa kutoa pesa taslim au kupitia kwa waganga?

    Habari wana JamiiForums Hivi jamani wapo kweli watu waliopata kazi au ajira za kudumu kwa kutoa kiasi cha fedha (hongo, bakhshishi, takrima) au kupitia kwa waganga ili waweze kupata KAZI?
  8. Sky Eclat

    Si kosa la jinai kusafiri na pesa ili mradi tu zisidi USD10,000

    Unaposafiri na kiwango kikubwa cha pesa ni lazima uwe na ushahidi wa chanzo cha pesa hiyo. Usisahau kuchukua pay slip au salary slip. Kwa usalama zaidi wengine wanachukua na copy ya mkataba wa ajira. Kuna wanaosafiri na USA$ 4,000 -5,000 si ajabu ni watu wamekupa uzifikishe nyumbani. Wengine...
Back
Top Bottom