Habari za wakati huu waungwana;
Mnamo mwaka 2005 nilipata kusikia habari za kwamba watu wanaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandaona kutengeneza pesa.Kwa sababu ya uelewa finyu wa teknolojia na uhaba wa rasilimali haikuwa rahisi sana mimi kutambua ni kwa namna gani.Hata hivyo niliendelea...