Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.
Malaika wa...
Habari wadau.
Naombeni msaada wa majibu.
Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao.
Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac.
Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok.
Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho.
Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。
Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Kusikia Sauti
Hii ni thread...
Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo
Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ulisababisha kuanguka kwa shule, makanisa, na nyumba za wananchi, huku watu kadhaa wakijeruhiwa...
Waliokulia vijijini mashambani wanalijua hili... Waliokulia mijini kwenye uchafuzi wa kila aina na vurugu zote hawaijui ladha yake
Ukisoma habari za peponi na vile kulivyo unaweza kukubalina nami kwamba makondeni ni pepo ya dunia
Hakuna vurugu za miziki
Hakuna honi
Hakuna fujo za bodaboda...
Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana.
Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na...
Habari zenu Wanajamiiforums.
Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.
Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa misikitini sijaona.
Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona.
Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa...
Wadau hamjamboni nyote?
Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa wanadamu?
Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana
Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote.
Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa huko wilayani,itoshe kusema jehanam ipo hapa hapa duniani na pepo ipo hapa hapa duniani
Stori za...
Habari ndugu zangu!
Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho!
Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi.
Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana!
Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi...
Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza
Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa...
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.
Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.
Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana
Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri.
Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka wasichana wa rika langu siwaelewi..
Hii hali ya kutowaelewa hawa wa rika yangu imeanza baada ya kujiona...
Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake
Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
Wakuu,
Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa;
Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
Mwami Yesu asingizwe
Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading.
Nimeambatanisha na vifungu vifuatavyo:-
Matendo 16:16 “Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.