pembeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Mwanaume jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kipato zaidi ya mara mbili na kuendelea pia akili usiweke pembeni

    Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume. Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke , jikaze kiume ndo NENO liko Hadi kwenye maandiko
  2. Kwanini tairi huvimba pembeni?

    Washkaji zangu, embu tuache utani kwenye maisha yetu. Umewahi kucheki tyre ya gari yako ukakuta imetokeza "nundu" au uvimbe fulani hivi pembeni? Wengi tunasema "ah, bado inatembea," lakini ukweli ni kwamba hilo ni BOMU na unatembea nalo! Sasa, kwanini tyre inavimba hivi? (Hizi ndio sababu)...
  3. Niliwahi kupita pale chuo HTC pembeni ya darajani kwenda kariakoo, kufundisha

    Nilikutana na mwanamke msukuma, ana sura ya baba ila biyo shape duuuh! Mk*nd mkubwa sana mzuri, somebody V . kama upo hapa nicheki pm please, SIKUSAHAU. tuliwahi ku do juu ya deka Maeneo ya TMK maduka mawili. Come dm omease kama utaona hii. Ulikua unavaa miwani hivi. Usijiulize mengi njoo...
  4. Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  5. M

    PostGE2025 Tulia Ackson, wahuni walikutumia kuuza bandari za Tanganyika na kufumbia macho UTEKAJI na MAUAJI ya wananchi. Sasa wamekuweka pembeni

    Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
  6. GE2025 Tunatokaje? Huu utakuwa uzi maalum. Mihemko tuweke pembeni. Ila ukweli na suluhu tusiviache

    Hamjambo wakuu! Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha. Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na...
  7. Ila tukiweka ushabiki pembeni mwanamke hatakiwi kuwa Rais wa nchi

    Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote! Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
  8. Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  9. M

    Tungejua ugumu wa cheo, wengi tungekaa pembeni

    katika Uislamu cheo na madaraka si kitu cha kung’ang’ania au kukipigania kwa hila. Mtume Muhammad ﷺ alitufundisha kuwa cheo ni amanah (uaminifu) na mzigo mkubwa kwa mwenye kupewa. 🔹 Dalili kutoka Hadith: Mtume ﷺ alimwambia Abdurrahman bin Samura: (Hadith Sahih Bukhari na Muslim) Mtume ﷺ...
  10. K

    Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
  11. A

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  12. Rostam Azizi atuambie huu Mkataba ulihusu nini?

    GT Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu. Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma. Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
  13. Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini

    Wanabodi Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!. Mtu huwezi kukata tawi la...
  14. GE2025 Byabato na Makamba (Waziri na Naibu wake) walifanya kosa gani hadi kuwekwa pembeni?

    kosa gani alifanya huyu Byabato na Makamba mpaka wameishia kuwekwa Pembeni
  15. Idris Abdul Wakil alitawala kwa awamu moja tu, akakaa pembeni. Historia kujirudia?

    Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando. Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana. Historia ni mwalimu mzuri na...
  16. M

    Mke ana Hernia usawa wa kitovu pembeni ameambiwa operation

    Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4 Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba Hali ikitokea anakaa katika maumivu...
  17. K

    Kikwete anamaliza CCM mwekeni pembeni

    Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine. Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache...
  18. Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

    CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!! Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata...
  19. Ufike wakati, bila kujali, wale waliokataa kusaini hati za maadili, wakae pembeni, wasijihusishe na siasa!

    Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani, ::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…