"Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki...