paye

A pay-as-you-earn tax (PAYE), or pay-as-you-go (PAYG) in Australia and the United States, is a withholding tax on income payments to employees. Amounts withheld are treated as advance payments of income tax due. They are refundable to the extent they exceed tax as determined on tax returns. PAYE may include withholding the employee portion of insurance contributions or similar social benefit taxes. In most countries, they are determined by employers but subject to government review. PAYE is deducted from each paycheck by the employer and must be remitted promptly to the government. Most countries refer to income tax withholding by other terms, including pay-as-you-go tax.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

    Huu ni uzalendo. Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
  2. J

    JamiiForums Tanzania PAYE kwa Wafanyakazi imepunguzwa kutoka 9% hadi 8%. Kodi kwenye marupurupu imeondolewa; hatua hii itaongeza mshahara!

    Serikali imepunguza kodi ya PAYE kutoka 9% na sasa itakuwa 8% Punguzo hili litasababisha mshahara kuongezeka kadhalika kodi kwenye marupurupu imeondolewa. Kazi Iendelee!
  3. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzia Julai 1, 2020 ilirekebisha viwango vya PAYE. Sasa itoe maelekezo kwa Trade Unions na NHIF kupunguza makato

    Serikali kuanzia July 1, 2020 ilifanya marekebisho ya sheria ya kodi ya mishahara (PAYE) na kutoa unafuu fulani kwa watumishi. Naipongeza Serikali kwa maamuzi haya japo tunahitaji iende zaidi ya hapa kwa kuhakikisha inaboresha mishahara ya watumishi kwa kuiongeza kila mwaka. Kama serikali...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini tozo kwa makosa ya uvunjifu wa sheria za usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara? (1) Kwanini dereva wa gari iliyofanya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
  6. CHEF

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi una raha yake, mpaka PAYE imepunguzwa

    SIku chache tu baada ya kampeni kuanza PAYE (pay as you earn) imepunguzwa na mishahara kuongezeka automatically, unafikiri nani hajui umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi. Jamani Demokrasia ya vyama vingi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, tusijiloge kufuta vyama vingi.
  7. Shark

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Wakuu kwema? Sasa kila Mwajiriwa atatakiwa kuwa na TIN, hii itatumika kumtambulisha kama mlipa kodi pale anapokatwa PAYE kwenye Mshahara wake.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

    Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa. Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home). Serikali ya awamu ya 5 imetumia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunashindwa kutekeleza Bajeti yetu?

    Nimejaribu kuangalia kwenye ripoti mbalimbali za kiserikali (Wizara ya Fedha) na Benki Kuu Ya Tanzania n kugundua kwamba, katika kipindi cha miaka mitano 2015/16- 2019/20 serikali imeshindwa kabisa kujinasua hasa utekelezaji wa bajeti. Ukiangalia ripoti hizo kiwango cha juu cha utekelezaji ni...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Punguzo la 1% (kutoka 15% hadi 14%) kwenye kodi ya mishahara (PAYE) ni dhihaka kwa wafanyakazi wa Tanzania kwani gharama za maisha ziko juu sana kufuatia mfumuko mkubwa wa bei. Ifike wakati sasa serikali iwaonee huruma wafanyakazi kwa kuwapunguzia mzigo wa kodi badala ya kufawafanyia mzaha kama...
Back
Top Bottom