paye

A pay-as-you-earn tax (PAYE), or pay-as-you-go (PAYG) in Australia and the United States, is a withholding tax on income payments to employees. Amounts withheld are treated as advance payments of income tax due. They are refundable to the extent they exceed tax as determined on tax returns. PAYE may include withholding the employee portion of insurance contributions or similar social benefit taxes. In most countries, they are determined by employers but subject to government review. PAYE is deducted from each paycheck by the employer and must be remitted promptly to the government. Most countries refer to income tax withholding by other terms, including pay-as-you-go tax.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utajuaje mwajiri anapokata PAYE (TAX) anawasilisha TRA?

    Mim ni Mtanzania pekee nafanya kazi katika kampuni ya kihindi lakini imetokea nje. Kapuni hii ilishinda tenda ya kutengeneza mfumo katika taasisi ya serikali. Kutokana na changamoto kati ya yeye na taasisi ya serikali, mambo siyo mazuri. To be honest project inahitaji mtaji mkubwa sana na...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cabinet Secretary John Mbadi Under Fire Over Missing PAYE Relief in 2026 Finance Bill

    Treasury Cabinet Secretary John Mbadi is facing mounting criticism after the much-anticipated reduction of PAYE tax for salaried workers failed to appear in the 2026 Finance Bill. The backlash follows earlier promises by the government that low-income earners would receive tax relief to cushion...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni Proposes Scrapping PAYE Tax for Scientists

    Kampala, Uganda: President Yoweri Museveni has proposed the removal of Pay As You Earn (PAYE) tax on scientists’ salaries, arguing that the move would accelerate Uganda’s economic transformation through innovation and research. He remarked this during the launch of Uganda’s first locally...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Elimu kuhusu makato ya PAYE kwa watumishi wa Serikali za Mitaa

    Mimi ni mtumishi wa afya Serikali za Mitaa, naomba kujua makato ya Pay As You Earn (PAYE) ni kwa ajili ya nini? Naomba wizara husika iliangalie hili kwani linatesa walio chini tu.
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahead of 2027 Elections: Treasury Tweaks Tax Cuts

    Serikali imeweka masharti: tax cuts ziwezekane tu kama tax base itaongezeka. PS Chris Kiptoo alisema: “Tutapunguza kodi, lakini kwanza tuongeze compliance na mapato.” Plans under review: Income tax 30% → 25% kwa wanaopata ≤ Ksh50,000 Wanaopata ≤ Ksh30,000 exempt With 2027 elections coming, hii...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Governor Natembeya Criticizes Ruto’s PAYE Tax Proposal, Terms It a Political Strategy

    Trans-Nzoia Governor George Natembeya has faulted President William Ruto’s proposal to exempt Kenyans earning below Ksh30,000 from Pay-As-You-Earn (PAYE) tax, terming it a political manoeuvre rather than a sincere effort to ease citizens’ economic burden. Speaking in Trans-Nzoia County on...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Ruto signals PAYE exemption for workers earning below Ksh.30,000

    President William Ruto has intimated that he is planning to present a proposal before Parliament that will seek to introduce major tax reliefs for formally employed Kenyans. This comes a day after Treasury Cabinet Secretary (CS) John Mbadi announced is seeking to exempt over 1.5 million...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa TRA nao wanakatwa PAYE kama kada nyingine?

    Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi. Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
  9. JamiiForums Tanzania KWELI Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hukatwa PAYE kama wafanyakazi wengine

    Nimekuwa nikisikia kuwa wabunge wetu hawalipi kodi kwenye mshahara mnono wanaopata. Kuwa walimu wanalipwa Tsh 400,000 lakini kamshahara hako kanaliwa na PAYE. Wabunge wetu wakiwa kwenye vikao, sitting allowance na Perdiem wanakunja 470,000 kwa siku, Mshahara wa mwisho wa mwezi nao mnono...
  10. JamiiForums Tanzania Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

    Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya ) - Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya) -...
  11. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa. Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
  15. I

    JamiiForums Tanzania Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE? Naam naombeni jibu hapo
  16. JamiiForums Tanzania Mei Mosi na Mfumuko wa Bei; ningepunguza PAYE kama Hayati Dkt. Magufuli

    MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI. Leo 21:30pm 02/05/2022 Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9,huku wafanyikazi kote duniani wakiadhimisha sikukuu ya wafanyakazi,nchini Tanzania...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa PAYE, Taxable Pay na Net Pay kwa urahisi sana.

    ...yeh!
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wana misamaha ya kodi? Jerry Silaa hakusema wabunge hawakatwi PAYE

    Binafsi sikushangaa kabisa kumuona Jerry Silaa akiingia na lundo la vitabu na manual zinazoelezea sheria za kodi. Kinachonishangaza ni baadhi ya wadau kumtaka Jerry Slaa kuiweka hadharani salary slip yake ili tuone namna asivyolipa kodi kana kwamba Jerry alisema wabunge hawakatwi PAYE. Swali...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge: Wabunge wanakatwa kodi zote stahiki ikiwemo 'PAYE''

    Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi . Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema kama ilivyo kwa Watumishi wengine wa Umma pamoja na Viongozi wa Kisiasa, Wabunge wanakatwa Kodi ikiwemo ya Mapato (paye) inayokatwa kwenye Mishahara yao kwa mujibu wa sheria. Kauli hiyo imekuja baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Jedwali la kodi za PAYE 2022 si la kitaalam

    Nimedownload hilo jedwali (INCOME TAX TABLES 2122) kwa link hii Tanzania Revenue Authority - Tax Tables na nimegundua lina mapungufu kadhaa, Kuna mahali ukiweka mshahara kodi inakuja hasi (negative). Na hii imesababishwa na mtengeneza jedwali kutotumia formula inayojumuisha kila tax bracket...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…