paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. W

    GE2025 Makonda: Nikishinda Ubunge nitamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha

    Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au? ================ Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za...
  2. GE2025 Kama kuna watu walizoea kutajirika, waambie Makonda anaingia kazini Oktoba 29

    Naona jamaa ameshajihakikishia nafasi mapema, hadi ameanza kupiga mikwara watu mapema ================= Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema yuko tayari kupambana na mafisadi wote wanaowaonea wananchi wanyonge. “Kama kuna watu walizoea...
  3. GE2025 Masheikh wafanya dua ya kumuombea Paul Makonda apate Ushindi Ubunge Arusha Mjini Kupitia CCM

    Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025. Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi imefanyika leo Jumanne Septemba 9, 2025 katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamuwa Tanzania...
  4. GE2025 Leo Magari yenye chata za Makonda na kombati ya kijeshi yameenea jijini Arusha kuelekea uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu

    Shamra shamra za kampeni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kushika kasi! Leo magari yenye chata la mtia nia kupitia Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda yameonekana yakizunguka mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha yakitoa hamasa na ishara ya uzinduzi mkubwa wa kampeni. Soma...
  5. GE2025 Ng’ombe 200 wachinjwa kwa ajili ya wananchi wa Arusha kumsindikiza Makonda kuchukua fomu

    Wananchi mbalimbali na wanachama wa chama cha mapinduzi wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza mgombea ubunge kupitia chama hicho kwa ajili ya kwenda kuchukua fomu kwa ajili ya Ubunge. Hata hivyo sherehe hizo zimepambwa na vyakula ikiwemo nyama na ng'ombe 200 wamechinjwa kwa ajili ya kusherekea.
  6. GE2025 CCM Arusha kuchinja ng'ombe zaidi ya 100

    Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia Ng'ombe zaidi ya 100 kwa ajili ya nyama choma kama anavyobainisha Katibu Mwenezi wa CCm Wilaya ya...
  7. GE2025 Paul Makonda ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Arusha Mjini

    Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameteuliwa na Chama chake CCM kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Arusha Mjini kupeperusha bendera ya chama hichi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Soma Pia: Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
  8. GE2025 Diwani aliyemlilia Paul Makonda atimkia CHAUMMA

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Themi jijini Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Petro Lobora, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kukabidhiwa kadi ya uanachama sambamba na kuchukua fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo aliyoiwakilisha awali kupitia CCM. Tukio hilo...
  9. M

    GE2025 Rasmi Paul Makonda ni mrithi wa Mrisho Gambo Arusha mjini

    Paul Makonda ameshinda kwa kupata kura zaidi ya elfu 9 ambayo ni sawa na 97% na kuwaacha mbali wenzake kwenye kura za maoni ya ccm kwenye jimbo la Arusha mjini. Wasiompenda msukuma mwana kolomije Paul Makonda sasa watakuwa nae sana hapo mjni =============== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  10. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  11. GE2025 Makonda: Shikamoo Wajumbe, hii Shikamoo ni ya Kura haihusiani na Umri

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa wajumbe wa Chama kwa kutembelea Kata mbalimbali ndani ya Jimbo hilo. Akiwa katika kata ya Olasiti...
  12. GE2025 Makonda: Jamani wajumbe nimeacha kazi, nipeni kazi

    Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata uliofanyika katika Kata ya Sokoni 1, Makonda amesema anaamini...
  13. KUMBUKIZI | Paul Makonda: Ukiniweka kwenye Kaburi mimi nitafufuka tu!

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mtia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Arusha Mji aliwahi kusema, "Kama Mungu aishivyo, mimi ukiniweka kwenye Kaburi nitafufuka tu!"
  14. Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

    Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20... Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
  15. GE2025 Mnaopanga kumpa Paul Makonda Uwaziri Sijui Uwaziri Mkuu, Kumbukeni alishapigwa marufuku Kukanyaga Marekan, Ulaya !!.

    Mtachagua wenyewe sasa!! Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US. Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
  16. GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

    Nimezaliwa na kukuwa Arusha. Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu. Naona Makonda kama mvamizi tu. Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije. Arusha kwake ni kama ngazi ya...
  17. Rais Samia amkumbatie sana Makonda, akitoswa hata na Makonda atakuwa na shughuli nzito sana

    Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani. Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
  18. GE2025 Arusha Mjini wapo tayari kumrudisha Gambo

    Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025- 2030 ili aendelee kuwasemea wananchi wakimtaja kuwa mfanyakazi hodari na mwenye kuijua vyema Arusha...
  19. J

    Basi Uteuzi wa Paul Makonda kuwa Waziri mkuu utakuwa kama Samwel alivyokwenda nyumbani kwa Yese na kumteua Daudi kuwa Mfalme!

    Biblia inasema Samwel aliagizwa na Yehova kwenda nyumbani kwa Yese kumpaka mafuta mmoja wa WATOTO wa Yese ishara ya uteuzi wa kifalme kutoka kwake Yehova Mungu wa mbinguni Samwel aliletewa WATOTO wote wa Yese waliokuwepo barazani akawatazama na kusema haoni mteule pale na akauliza ‘je ndio...
  20. L

    Jiandaeni Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV Nzito Na Ndefu Ya Paul Makonda. Mtapata Kumjua kwa Undani Zaidi

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025. Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…