paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. PostGE2025 MWANA FA Vs MAKONDA: Nani atatawala Unaibu Waziri

    Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma (mwana fa) akizungumza baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma, lNovemba 18...
  2. PostGE2025 Paul Makonda na Dotto Biteko msizuge, ukweli ni kwamba mmeumia vilivyo kusikia Rais kapeleka jina la Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu ajaye

    Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa. Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye...
  3. Hivi mnamjua Paul Makonda nyie?

    Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba, Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar Huyu bwana ukimweka kwenye kundi la walafi wa madaraka na matumizi mabaya ya madaraka ni namba moja kwa Tanzania hivi sasa...
  4. L

    Paul Makonda Ageuka Kivutio Kwenye Viwanja vya Bunge. Watu Wapigana Vikumbo na kung'ang'aniana kupiga Naye Picha

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Wa kaskazini Paul Makonda anapendwa , kukubalika na kuaminika sana. Huyu Mwamba ni balaa kwelikweli,upepo wake siyo wa Kawaida. Akipita sehemu utafikiri Mfalme kapita au Nabii...
  5. GE2025 Mkoa wa Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (7) ambayo ni Arusha Mjini Longido Karatu Ngorongoro...
  6. GE2025 Makonda: Wasiokutakia mema waliumia kuona hakuna aliyepoteza maisha kwenya ajali ya SGR

    Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Christian Makonda amepongeza mapinduzi makubwa yaliyofanywa na mgombea urais kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa treni na reli ya mwendokasi (SGR). Aidha...
  7. GE2025 Makonda: Mfadhili wa maandamano naye ameishiwa fedha

    Wakuu, Propaganda za kishamba sana. Nchi ya Tanzania SIO THREAT kwa nchi nyingine yoyote duniani, so the idea kwamba kuna mtu anafadhili maandamano just for the sake ya amani iharibike its a total fallacy Sisi sio Urusi kwamba kukiwa na machafuko nchini, itamnufaisha Marekani. We are not a...
  8. GE2025 Makonda atoa elimu Zanzibar ya namna ya kupiga kura Oktoba 29

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa elimu ya namna ya kupiga kura kwa baadhi ya wananchi wa visiwani Zanzibar. Makonda ambaye amewasili visiwani humo mapema leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025 kwa ajili ya kumuombea kura mgombea urais wa Jamhuri ya...
  9. GE2025 Makonda: Wana Feri msikubali kuiondoa amani, tukapige Kura

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Christian Makondaameendelea na kampeni zake za kumuombea kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ambapo leo Oktoba 23, amefika katika Soko la Ferri lililopo Kigamboni, Dar es Salaam.
  10. GE2025 Makonda : Mlinde Amani mkiwa nchi kavu na Baharini

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ametoa wito kwa wavuvi wa samaki katika kata ya Kivukoni, jijini Dar es Salaam, kuendelea kulinda amani ya nchi na kutokubali kushawishiwa kuvuruga hali hiyo ya utulivu iliyopo Nchini. Akizungumza na wavuvi...
  11. GE2025 Makonda: Mafanikio ya Bandari ni matokeo ya maamuzi makini ya Rais Samia

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema mafanikio makubwa yanayoonekana katika sekta ya bandari nchini ni matokeo ya uongozi makini, wa kisasa na wa kisayansi chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amefanya maamuzi ya kimkakati...
  12. GE2025 Makonda: Ukimuosha na kumkata mtu kucha, muombee kura Samia

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara zake za kampeni ndani ya jimbo hilo, ambapo leo Oktoba 18, 2025, amekutana na wafanyakazi wa saluni wanaojihusisha na kazi ya ususi na urembo. Katika mkutano wake na...
  13. R

    GE2025 Makonda atua kwa Mafundi Gereji Kuomba kura kwa Rais Samia, waahidi Mitano tena

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni ndani ya jimbo hilo ambapo alikutana na Umoja wa Mafundi wa Suye Garage, ambapo aliwahimiza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 Akizungumza...
  14. R

    GE2025 Makonda: Sauti ya wananchi inasikika kwenye sanduku la kupiga kura, Tupeni kura za kutosha tupiganie maendeleo

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema wananchi wana wajibu na haki ya kushiriki uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29, 2025 akibainisha kuwa sauti yao inasikika zaidi kupitia kura wanazopiga kuwachagua viongozi wanaowataka. Akizungumza na wazee katika...
  15. GE2025 Makonda: Mgambo wa jiji mjipange, sitokubali kuona wakinamama na vijana wananyanyaswa kwenye biashara zao

    Anawajaza upepo? au atafanya kweli? Ila kwa upande mwingine sina mashaka naye sana katika utendaji wake na kujitoa kwa namna fulani kwa wananchi Tusubiri muda ufike tuone! ================ Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amesema kuwa...
  16. GE2025 Makonda: Wanaombeza Samia hata kwenye familia zao wana Migogoro, Rais anapaswa kuombewa

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa wanaombeza Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan watakuwa na Matatizo hata na familia zao Makonda ameyasema hayo Leo Oct 13,2025 Katika Uwanja wa maonesho wa Dkt. Samia Geita Mjini Mkoani Geita...
  17. GE2025 Makonda: Mtu asiyepiga kura anafanana na mwanaume asiyetoa hela ya matumizi

    Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan. Leo Jumatatu...
  18. GE2025 Makonda: Kila dereva Boda boda ukibeba abiria mwambie naomba Kura kwa ajili ya Samia

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, akihutubia mkutano wa kampeni leo, Oktoba 12, 2025, katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, amewaomba maafisa usafirishaji kumwombea kura Samia kwa kila abiria watakayembeba. "Boda boda wote ambao mmeshuhudia mapenzi ya Dkt...
  19. GE2025 Paul Makonda: Oktoba 29 hakuna maandamano, wote wanaenda kupiga kura

    Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kuptia chama Cha Mapinduzi CCM Paul Makonda amemhakikishia Mgombea urais kupitia cha hicho kuwa Oktoba 29 hakuna maandano na atapewa kura zakutosha. Makonda amesema " Wananchi wa vijiweni wameniomba kwamba sasa hivi achaneni na habari ya kutokupiga kura...
  20. GE2025 Makonda awaita wenye hoja za msingi kwenye mdahalo wa katiba mpya

    Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae. Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…