Beki wa Iran, Nader Mohammadi, anayekipiga kwenye Ligi ya Russia na Spartak Kostroma, ameendelea kutengeneza gumzo kwenye soka kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kutumia flip throw-in kusaidia timu yake kufunga mabao.
Katika kipindi cha wiki tatu tu, Mohammadi tayari amefanikiwa kutoa assist...