pascal mayala

  1. Mkalukungone Mwamba

    Pascal Mayala: Mamlaka zetu azijifunzi kutafsiri Katiba kwenye Uhuru wa Maoni, ukitoa maoni yasiomfurahisha kiongozi basi itakuwa ni makosa

    Mazungumzo kati ya mwandishi wa DW Kiswahili, Sudi Mnette alipokutana na mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Pascal Mayala ambaye anaelezea sakata lililomkabili siku chache zilizopita. Soma Pia: JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu...
  2. Chachu Ombara

    Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili

    Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
  3. Zee la madawa

    Poleni sana mzee wangu pascal mayala.

    Mwandishi Paschal Mayala amepewa masaa 24 kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI kinachorushwa na Jambo Television kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji waliokuwa kwenye ibada ya mazishi ya...
  4. Idugunde

    JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa

    Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari haikuona Majaliwa akishangiliwa? --- Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania ( Jounalist Accreditation Board) imempa muda wa masaa 24 Mwandishi wa habari Mwandamizi Paschal Mayala kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI...
  5. Roving Journalist

    Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Laiti Kama ni Mimi ni Kiongozi wa Nchi ningewafukuza kazi Viongozi Wakuu wahusika Wa idara ya Maji na kumuondoa Waziri Wa Nishati

    Tuna Mito, Maziwa lakini Maji safi hatuna lohhh Majangaa kweli nchi yetu. Ni jambo la Aibu tangu tupate uhuru ni zaidi ya miaka 60 bado Wananchi wanahangaika kupata maji safi? Wakati idara na Wizara inauohusika Viongozi wake wapo maofisini wanaupiga mwingi. Maji hayo kiafya hayafai kabisa...
  7. P

    GE2025 Rais Samia sikiliza neno la bwana kuhusu Urais 2025

    ...
  8. blogger

    VIDEO: Paschal Mayalla pole sana kwa yaliyokukuta baada ya Swali lile

    Kaka kwanza kabisa nikupongeze na kukupa pole vyote kwa pamoja. Kumbe kuna kipindi ulipitia moto wa tanuri. Aisee. Lakini wala hukutuambia hapa jamiiforums. Sasa hukuona umuhimu wa kuomba msaada ili urejeshewe kampuni yako!? Kumbe uliajiri na vijana.. 15. Je saizi wako wapi!? Hufikirii kumuona...
  9. Chakaza

    Jee Hili Limewahi kutekelezwa

    Ibara ya 46(2) – Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyofanyiwa marekebisho) Maelezo ya ziada: Mchakato huu unalenga kuhakikisha kuwa Rais ambaye hawezi tena kutekeleza majukumu kwa sababu ya maradhi (ikiwemo ya akili) anaondolewa kwa njia ya kikatiba. Ni lazima Baraza...
  10. D

    PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Pascal Mayala: Waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, pia pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao

    Akifanya mahojiano na Bongo FM Pascal Mayalla nimekusikia ukisema waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, bila malegend waliowahi kuwa wabunge chama hicho hakitoboi. Pia nimekusikia ukisema pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao, kwamba itakuwa ndiyo...
  12. S

    Member Mkongwe ni Pascal Mayala

    Kwa sasa hivi Member Mkongwe ni Pascal Mayala amejiunga 2008 nikiwa namiaka 7
  13. TheMaster

    Ni upi utabiri wa kinabii wa Pascal Mayala kuhusu CHADEMA?

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa makala za mwandishi nguli wa mtandao wetu wa jamii forum hususani Jukwaa la Siasa kwa muda mrefu sana. Huyu si mwengine ni Guru la uandishi na ufatiliaji wa mambo ya kisiasa Bw PASCAL MAYALLA Na hata hivyo naweza sema ni moja ya waandishi nguli zaidi Tanzania...
  14. JOHNGERVAS

    Pascal Mayala: Waandishi wa habari walipwe posho kama Wabunge

    Mwandishi wa habari kutoka PPR Media, Pascal Mayalla ameiomba Serikali kuwapa posho waandishi wa habari pale wanapotekeleza majukumu yao kama ambavyo wabunge hulipwa posho kila wanapohudhuria vikao wakati wakitekeleza majukumu yao. Aidha, Mayalla amesema baadhi ya posho wanazopewa waandishi wa...
  15. Lambardi

    Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  16. B

    Wazee wetu walisomeshwa bure wakapata kazi nzuri serikalini, leo wanataka sisi watoto wao tusio na ajira rasmi tulipe madeni yasiyoisha!

    Asalaam Aleykum. Inasikitisha sana kuzaliwa kwenye nchi ambayo watu wake wamejaa ubinafsi na kila mtu yuko tu kuangalia maslahi yake na ya familia yake! Yaani nyinyi ma "Baby Boomers" ndo wa kutufanyia hivi kweli?! Nyinyi mlisoma bure, tena shule nzuri, zenye walimu wazuri, madarasa mazuri...
  17. B

    Kero yangu kwa TRA

    Wakuu poleni na majukumu. Nikiwa najishughulisha na biashara ya clearing na forward, Nina KERO kubwa kwa TRA. Quality na Assurance standard inasemaje kwa mafaili yaliyomaliza kufanyiwa kazi. Maana mafaili yanajaa ofisini mpaka yanaanza kuharibikia humo humo kabatini Kwa uzoefu wangu, baada ya...
  18. B

    Mzee wa Upako: Rais Samia na viongozi wengine wa juu wa Serikali, acheni chokochoko kwa wananchi

    Moja kati ya viongozi matata wa madhehebu ya Kikristo anayeitwa Mzee wa upako aliwahi kuyasema haya mwaka mmoja uliopita. Viongozi wetu ambao wako kwenye nafasi ya kutuamulia "kesho yetu", wanapaswa kufuata ushauri wa Mchungaji Mzee wa upako. Wasifanye maamuzi kwa kuongozwa na utashi wao tu...
  19. CONSISTENCY

    Kabudi, Bashiru, Polepole, Majaliwa mpo wapi kwenye jambo la Bandari?

    Hivi kweli ninyi wote mmekubaliana na huo mkataba wa kuuza bandari? Bandari ndio mali kubwa tuliyobakiwa nayo sasa, nchi zote zilizotuzunguka zinatupa heshima sababu zinategemea bandari zetu kupitisha mali na mizigo yao. Ikumbukwe kwamba serikali imekua inatumia pesa nyingi kuirekebisha bandari...
  20. britanicca

    The voice from within aandikayo Pascal Mayala na akataja ka Neno Karma inanifikirisha hapa huyu mtu yuko wapi yapata week kadhaa ni tetesi

    Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya mkutano wake wa mabiti nyumba mithiri ya Meli ? Je Karma ndo imemtafuna aliyemuua Ben wa Rabiu...
Back
Top Bottom