papa

Pápa [ˈpaːpɒ] is a historical town in Veszprém county, Hungary, located close to the northern edge of the Bakony Hills, and noted for its baroque architecture. With its 32,473 inhabitants (2011), it is the cultural, economic and tourism centre of the region.
Pápa is one of the centres of the Reformed faith in Transdanubia, as the existence of numerous ecclesiastical heritage sites and museums suggest. Due to the multitude of heritage buildings the centre of the town is now protected.
Pápa has a large historical centre, with renovated old burgher's houses, cafes, and museums, including the Blue-Dyeing Museum (Kékfestő Múzeum), set up in a former factory which produced clothes and other textiles dyed with indigo blue under a unique method.
The town is also noted for its thermal baths, particularly a newly constructed swimming complex, the Esterházy family's palace, its grand Roman Catholic church, and Calvinist secondary school; the town is an important religious centre. It also boasts a large park near the centre of town.
The town has been the main center of trade in the wines of the Somló wine region. Pápa was an administrative regional capital from 1945 to 1983.

View More On Wikipedia.org
  1. Kijakazi

    Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

    huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...
  2. Genius Man

    Profesa Kabudi sijui alienda kuongea nini maskini na Papa! Kwamba unashtaki wanaopinga mauaji

    Kitu alichokifanya kabudi aibu naona mimi sijui alienda kuongea nini maskini na papa kwamba unashtaki wanaopinga mauwaji. Heti huyu ndio mnamuita genius sijui professor? ameenda kufanya kazi kipumbavu sana yani kiufupi hajui anachokifanya ni nini na papa alimuona hana akili sana sio tu papa...
  3. M

    Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa!

    Misaada imekatwa. Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa.
  4. Q

    Balozi Dr. Slaa: Hata wakutane na Papa Mara 1000 hakuna kitu Watabadilisha

    Mimi nishawahi kufanya kazi pale kama hakuna jambo la maana atawakaribisha na mtaishia kupiga picha tu. Warudi hata mara elfu waone kama watapata wanachokitaka, amesema Balozi W. Slaa.
  5. Common Folk

    Kabudi akijitambulisha kwa Papa: "Nimesoma St. Augustine".

    Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao? Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na Katoliki na mmepata elimu zenu kwenye taasisi zao! Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na...
  6. Chizi Maarifa

    Wadau Kesho naenda Vatican City kumpelekea malalamiko Papa. Kitendo alichofanya Padre kimenikwaza sana

    Padre ananiambia niache uzinzi, anahubiri anasema mimi ni mdhambi sababu nawatolesha Mimba mademu ambao nawagegeda kisha wakipata mimba solution ni moja. Toa. Haya mambo ni kupangiwa na mabeberu wananionea wivu sababu mimi ni kidume cha mbegu. Wanataka waafrika tuwe wachache wao wawe wengi...
  7. kukumdogo

    Ukubwa wa Papa hadi WAISLAM wanaripoti kwake

    Kutokana na Taasisi ya ukatoliki ilivyokubwa duniani, inasababisha hadi masheikh wakubwa wa Dunia wakaripoti kwa papa na wapewe miongizo ya kuendesha dini zao.
  8. Minjingu Jingu

    Kila siku tunamsema Papa na Ukatoliki. Awamu hii tunatuma watu wakatubu kwake kweli?

    Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh! Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana? Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa...
  9. H

    Papa akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Papa akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Ni katika nchi ya Tanzania ambayo Tume ya uchunguzi iko inafanya kazi ili kubaini wahusika wa vurugu zilizoibuka mwezi Oktoba 2025 iliyopita katika tukio la uchaguzi. Na Angella Rwezaula, - Vatican. Papa Leo XIV, kabla ya Katekesi yake...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha. Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
  11. U

    Wasabato je mnakubali vipi Biblia iliyoidhinish na Papa e Damasus I askofu Mkuu wa Kanisa katoliki la Rumi 382?

    Naomba Moderator iache uzi huu uwe huru tafadhali. Je kuikubali na kuitumia Biblia hiyo siyo kukubali alama ya Mnyama kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana? Karibuni tujifunze
  12. Heparin

    Padri Kitima: Wakatoliki tuna sheria nzuri sana, ukitaka kumtuhumu Kitima anzia kwa Paroko. Ukianzia kwa Papa utarudishwa kwa Paroko

    Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania alisema: "Sisi kwenye Kanisa Katoliki wewe ukiwa na shida yoyote hata kama ukiwa unataka...
  13. Genius Man

    Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu eti limeenda kumsemea kwa Papa halafu watekaji na wauwaji haliwasemi. Hivi zimo?

    Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ? Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya masihara ninatoa onyo kwa wapumbavu kama hao. Kukemea utekaji na mauwaji imekua kosa toka lini ...
  14. Lord Denning

    Papa asema mamia wameuwawa Tanzania kwa vurugu za Uchaguzi

    Kwenye Ibada ya leo. Baba Mtakatifu Papa Leo ameziombea Tanzania na Sudan na kueleza mamia ya watu wameuwawa nchini Tanzania kutokana na vurugu za Uchaguzi Samia elewa tu we jiapishe ila inyeshe mvua liwake jua sio tu sisi Watanganyika bali dunia nzima haitakuacha salama kwa kutuua Watanganyika...
  15. ngara23

    Mohamed Yussoufeli ni papa asiyeguswa na Serikali ana kiburi mpaka Shetani anaogopa

    Mohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6 Baada ya kifo cha JPM huyu bwana aliachiliwa akakimbia nchi kidogo na Sasa amerejea na anafanya...
  16. D

    Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  17. Yoda

    Papa Leo XIV aongoza kuwa mtu anayependwa zaidi Marekani

  18. Ryan Holiday

    Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
  19. The Zanzibar Echo

    Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
  20. Beira Boy

    Kanisa la Iran linashambuliwa papa Leo 14 yuko kimya. Papa Francisco asingekubali wala kukaa kimiya, watu wanauawa ovyo huko Iran bila huruma

    Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana Mda huu Israel...
Back
Top Bottom