papa

Pápa [ˈpaːpɒ] is a historical town in Veszprém county, Hungary, located close to the northern edge of the Bakony Hills, and noted for its baroque architecture. With its 32,473 inhabitants (2011), it is the cultural, economic and tourism centre of the region.
Pápa is one of the centres of the Reformed faith in Transdanubia, as the existence of numerous ecclesiastical heritage sites and museums suggest. Due to the multitude of heritage buildings the centre of the town is now protected.
Pápa has a large historical centre, with renovated old burgher's houses, cafes, and museums, including the Blue-Dyeing Museum (Kékfestő Múzeum), set up in a former factory which produced clothes and other textiles dyed with indigo blue under a unique method.
The town is also noted for its thermal baths, particularly a newly constructed swimming complex, the Esterházy family's palace, its grand Roman Catholic church, and Calvinist secondary school; the town is an important religious centre. It also boasts a large park near the centre of town.
The town has been the main center of trade in the wines of the Somló wine region. Pápa was an administrative regional capital from 1945 to 1983.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Maziko ya Papa Francis yamefanana na ya waislamu. Hawakutaka fakhari.Wametumia Suzuki carry kubeba jenenza lake

    Pamoja na kwamba papa Francis hakuacha mamilioni ya pesa katika utajiri wake,vile vile hata maziko yake hayakuwa ya kifakhari sana.Yamefanana sana na vile waislamu wanavyozikana. Mazishi ya kiislamu hata afe mfalme basi huzikwa kikawaida sana.Wengi wao huzikwa siku hiyo hiyo wanayokufa na bila...
  2. SSH2025_2030

    Maziko "Simple" ya Papa Francis ni funzo kwa Watawala wa Afrika!

    1. Poleni Wakatoliki kwa kumpoteza Baba Mtakatifu. 2. Maziko haya simple wanatoa funzo kwa Watawala Miungu Watu wanaodhani wataishi milele na kupigiwa saluti. Kumbe siku unazima ulinzi na wapambe vinapotea hapo hapo 3. Tukanyage hii ardhi kwa adabu Ndugu zangu. Hapa tunapita Tu...
  3. K

    Machawa Papa ambao hawafuati viapo vyao

    Pamoja na Raisi Samia mwenyewe. Hawa ni watu walio kula kiapo kwa nchi lakini wamekuwa machawa. Historia yetu itawahukumu kwa udhaifu wa nchi na mifumo yetu. Mahakama Bunge Jeshi la polisi
  4. mdukuzi

    Papa John Paul II ndio Papa aliyekuwa na mvuto kwa miaka ya karibuni

    Mwaka 1990 au 91 sikumbuki vizuri,Papa Joh Paul II alitembelea nchini. Nimesahu mwaka maana walipishana mwaka mmoja na ujio wa Nelson Mandela. Zilitungwanyimbo nyingi sana kuhusu ziara yakenamapokezi yakehayakuwa namfano, Ziara ilifanasana kuanzia Dar mpaka Mwanza Kawekamo,mliokuwepo...
  5. The redemeer

    Papa Francis kutoka mbeba taka hadi kuwa pope

    Kuanzia Mkusanya Taka Hadi Papa wa Watu — Safari ya Jorge Mario Bergoglio Alizaliwa Buenos Aires kwa wazazi wahamiaji kutoka Italia, Jorge Mario Bergoglio alikulia katika familia ya hali ya chini yenye maisha ya kazi na kujituma. Maisha yake ya awali hayakuwa ya kifahari—alifanya kazi kama...
  6. and 998 others

    Majaliwa na Mstaafu wanatosha kutuwakilisha Mazishi ya Papa Francis

    Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
  7. JanguKamaJangu

    Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki

    Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki. Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
  8. I

    Jaribio la kumuua Papa Mei 13, 1981

    🕊️ JARIBIO LA KUMUUA PAPA JOHN PAUL II: RISASI KATIKA UWANJA WA ST. PETER 🔫✝️ Mei 13, 1981 — dunia iliganda. Risasi zilirindima katika Uwanja wa Mtakatifu Petro. Papa John Paul II, kiongozi mpendwa wa Wakristo kote duniani, alianguka chini akiwa katika dimbwi la damu. Lakini ni nani aliyepiga...
  9. gallow bird

    Askari wa israel aliwa na papa

    Askari wa jeshi lowezi huko palestina aliliwa na papa alipokua akipoza fuvu kwa kuogelea baharini huko palestina Ufuo huo sasa unaogopwa na wazayuni,maana papa walionekana kurudi tena na kurandaranda baada ya kuonja kitoweo cha kilowezi
  10. S

    Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  11. Infropreneur

    Hoping for a "Black Pope" from Africa is ignorance on steroids. Kufikiri kwamba Papa mwafrika anaweza kuchaguliwa aongoze Vatikani ni ndoto za mchana

    Will Africa get a black Pope? Thinking that there can be a black Pope from Africa is ignorance on steroids. Why does Africa still seek validation through western institutions? Wakristo wengi wa Afrika hawajui na hawaelewi kwamba papa sio tu kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, bali pia...
  12. Valencia_UPV

    HAKI ya kumpata Papa Mpya IPO wapi? Wanawake, Vijana & Wa-Afrika hawana Haki ya kuchaguliwa?

    Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii? #NoReform_NoNEWPope#
  13. Valencia_UPV

    Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

    Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa. **Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa] **** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa...
  14. O

    Mustakabali wa Uongozi wa Kanisa: Papa Ajaye Awe wa Msimamo Upi? Kiliberali au Kihafidhina ?

    Misimamo mikali ya aina yoyote haifai. Tunakosea sana tunapowagawa makardinali katika makundi mawili haya ya kiholela. Kufanya hivyo ni sawa na kulichukulia Kanisa kama taasisi ya kawaida kama vile IMF au Benki ya Dunia, badala ya kulitazama kama Mwili wa Fumbo wa Kristo. Baba Mtakatifu ni...
  15. Webabu

    Papa kutokea Afrika bado sana. Yasijetokea kama pale UN iliposhikwa na Koffi Anan

    Kanisa katoliki tangu hapo limekumbwa na kashfa kubwa sana ndani ya uongozi wake wa juu na ndani ya makao yake makuu.Hata mapapa wawili waliotangulia wametajwa kuhusika kuyapa kipaumbele baadhi ya mambo ambayo waumini wameyaona ni kinyume na mafundisho ya kanisa. Hata hivyo mapapa hao kuna...
  16. R

    Sasa ni muda wa PAPA wa kanisa katoliki awe Mwafrika, Wazungu wengi wameacha kwenda makanisani

    Waafrika ndio tunaongoza kwa kuwa na waumini wengi wa kanisa katoliki Duniani, Kuchagua Papa Mzungu si sahihi. wazungu wengi wameachana na mambo ya dini na hawaendi makanisani, mambo ya dini yamebaki Afrika, kwa mbali kidogo Nchi za kilatini na Ulaya ya maghariki. Hali ya kidini nchi za...
  17. Komeo Lachuma

    Hatakuja kutokea kamwe Papa wa hivi

    Papa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe. Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
  18. Setfree

    Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?

    Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo. Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba...
  19. and 998 others

    Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

    Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican. 1. William Ruto, Kenya 2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania, 3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO. 4 Keir - Waziri Mkuu UK, 5. Kagame - Rwanda, 6. Museveni - Uganda. 7...
  20. ELI COHEN

    Hivi ndivyo Papa mpya anavyopatikana

    Papa anapofariki au kujiuzulu, mchakato wa kumchagua papa mpya huanza na kongamano, ambapo makadinali walio na umri wa chini ya miaka 80 hukusanyika katika Kanisa la Sistine Chapel. Baada ya kifo cha papa (au kujiuzulu), Camerlengo inasimamia masuala ya Kanisa kwa muda. Vatikani inajiandaa kwa...
Back
Top Bottom