Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.
Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
Rais Samia akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Kusini
==Rais Samia amejenga hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 na hospital ya Emergency Medicine Depertment 118 kama msingi wa Dira2050.
Rais Samia amekamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi na...
Habari wakuu.
Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi.
Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu??
Kuanzia vita ya Urusi na...
Tunajua kwamba Mch Msigwa alichukua kozi ya week tatu kusomea uchungaji.
Tunafahamu tena pasipo shaka elimu ya Msigwa juu ya theology ni ndogo sana na ikitokea akaenda katika makanisa ya kueleweka labda atapewa nafasi ya kufundisha watoto wadogo kuimba na kucheza.
Kwa hakika Mch Msigwa hawezi...
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:-
Degree 170k *7
Diploma 150k*7
Certificate 100k*7...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
habari
halmashauri
kagera
kujikimu
mkoa
mkoa wa kagera
mpya
muleba
mwezi
ndugu
pamoja
pesa
pesa za kujikimu
wenzake
wilaya
yangu
Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa.
Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada.
Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani.
Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku.
Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni...
Mko salama wakuu?
Jana nikakutana na jamaa zangu flani ambao saivi ni madereva wa IT,tukapiga tungi weee nikaona jamaa wanachanganya kuberi na konyagi kuwauliza wanasema eti inakata usingizi.nikasema ngoja na mimi nijaribu,dah dakika sifuri nikazima,hii kitu imeniletea mpaka mafua.
Sitokaa...
Kwa wale ndugu zetu wa trading, hasa wa DSE na MT4/5, ulishawahi kujiuliza bei ya hizo securities zinapatikana vipi?
>Bitcoin ni nini? Kuna majibu 2
Bitcoin ni aina mpya ya pesa inayotumia cryptography kama njia ya usalama wakati wa kuthibitisha miamala. Pia, wengine wanaweza kusema ni asset...
Salaam Wakuu,
Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha?
Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo.
Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :-
1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa .
2.Timu zinadhamika , wadhamini...
Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
Fikiria aina ya upendo wa kipekee—upendo wa kina sana kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuwatenganisha nafsi mbili zilizoishi maisha yao yote pamoja. Jefferson na Mary Souder, waliokuwa wameoana kwa miaka 60 huko Tarrant County, Texas, walijenga urithi wa uaminifu wa dhati, wakilea vizazi vya...
Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu....
The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
1. Awamu ya tano ndio iliyoasisi yanayotokea awamu ya sita na yajayo awamo ya saba
2. Mlipandishiwa mishahara na kupandishwa vyeo.
3. Mlilaani ubabe, udikteta na umimi wa awamu ya tano (msijifanye mmeikumbuka awamu ya tano)
4. Mlisema "never never again" awamu ya tano ilipokufa ikaondoka zake...
Hizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga...