pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

    https://youtu.be/tkcyjSzgmK8?si=N65ZIQymjU_4md7z
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  3. JamiiForums Tanzania AC aina zote pamoja na Fan zinapatikana hapa

    Huu uzi ni kwaajili ya Air conditioner ,fan, towerfan na Aircooler za aina mbalimbali zinapatikana dukani kwetu kariakoo mtaa wa ndanda Piga simu/Whatsapp 0614228735 NB:Angalia post za mbele ndio Kuna bidhaa latest na Bei latest
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na kuendeshwa na wasomi, Je Mhimili wa Mahakama Tanzania unajitambua?

    Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi. Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  6. JamiiForums Tanzania Suala la kufungiwa kwa makanisa na majukwaa pamoja na kuteka ni jaribio la kutaka kuiteka nchi

    Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope. Sasa kuna wahaini wanajaribu kujimilikisha hii nchi wanajaribu kupata control ya kila kitu, nchi bado haija...
  7. JamiiForums Tanzania Swali la wazazi: Umeshanunua kiwanja huko unakoishi? Jibu hili hapa

    Yes,Ukiwa unaishi mjini au mahali popote mbali na wazazi au nyumbani ulipozaliwa,unaporudi nyumbani swali mhimu kutoka kwa wakubwa huwa ni...; umeshanunua kiwanja?? Kama bado hujapata jibu la swali hilo,usisite kunitafuta wakati wowote ili upate kumiliki kiwanja chako kwa gharama nafuu Sana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kutembeza viatu grade one vya mtumba pamoja na mashati ya kiume

    Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

    My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!! Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu...
  10. JamiiForums Tanzania Yaani Aboubakar Sadick pamoja na Ujanja wako wote na Tambo zako zote kumbe Gari yako iliyoungua ilikuwa haina hata Fire Extinguisher ili Uiokoe?

    Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea usiku huu wa majira ya saa sita Septemba 2, 2025 ambapo katika...
  11. JamiiForums Tanzania Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
  13. JamiiForums Tanzania Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

    RIP MWAMBA.BR WILLY CONT RIP POPOTE ULIPO Ulikuwa kaka mwema Mume mwema kwa familia yako Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari.... Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza...
  14. JamiiForums Tanzania Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

    🔑 RETURN ON EQUITY (ROE) 👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?” 📌 Jinsi ya kuipata ROE...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

    Naona kabisa ndivyo ilivyo Na ndicho hili Taifa linapitia kwa sasa.
  16. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhaidiwa mamilion Kenya, Uganda na Tanzania wameishia kutusabahi

    Nyie mnaoamini Maisha ni pesa kuna mbinu zaidi ya pesa CHAN imenifundisha mengi sana nisidharau mtu sababu ya pesa unaweza ukaahidiwa mamilioni ukaishia kupata history ulikuwepo CHAN Nimewaza yale mamilioni waliyoahidiwa yameishia wapi Na nyie wanahabari na unafiki wenu wa DRW NA MADAGASCAR...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Hospitali ya Benjamini Mkapa tunakatwa stahiki zetu bila maelezo

    1. Tunafanya kazi masaa ya ziada kama tunavyopangiwa ila cha ajabu tunakatwa malipo ya stahiki zetu. Mfano: Kama umefanya masaa ya ziada kwa siku sita unalipwa mbili tu. Hizi nne hazilipwi na hazitolewi maelezo. 2. Tunaomba Wizara ya Afya na mwajiri wetu Katibu Mkuu Kiongozi itupe muogozo na...
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na kelele zote hizi Bado Mh Rais, sisi raia tunatekwa?hivi utatwambia Nini kwenye kampeni?

    Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
  19. JamiiForums Tanzania PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unajua kukuza biashara yako kwa kutumia taarifa(Data) zako?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…