pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kuifaurahia Dunia pamoja

    Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar. Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo; Umri: 22-30 Elimu : yoyote Rangi : yoyote Location: :Dar Asiwe mwanafunzi wa chuo. Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika

    China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika NA BRYAN OTIENO Ushirikiano kati ya China na Afrika katika zama mpya ndiyo njia pekee ya China na Afrika kupata maendeleo ya pamoja. Ushirikiano huo umeweka msingi imara zaidi wa nyenzo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika ni ufunguo wa kufikia mustakabali wa pamoja

    Mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika ni ufunguo wa kufikia mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”. Mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Afrika yana historia ndefu. Katika miaka ya 1950 na 1960...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO "Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja." Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi ya Uganda na Tanzania wameshindwa kuchanga $1 bilion kujenga refinery plant kwa pamoja

    Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu. Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena ashiriki Mkutano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja Baina ya Tanzania na Msumbiji

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika Ukumbi wa Joachim Chisano, Maputo nchini Msumbiji, Waziri...
  7. JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez awa makamu wa rais caf pamoja na wenzake wengine 10

    RAIS • Ahmed Yahya MAKAMU WA RAIS (WAPO 11) 1• BARBARA GONZALEZ 2• Maclean Cortez 3• Djibrilla Hamidou 4• El Hajoui Hamza 5• Sekou Sylla 6• Shehu Dikko 7• Ransford Abbey 8• Alim Konate 9• Mohamed Yonis 10• Muwanda Haruna 11• Mokhosi Mohapi MSHAURI • Desmond Maringwa
  8. JamiiForums Tanzania Pesa pamoja na vyeo hupita, kama unabisha waulize watu wa sensa

    Tusijisahau ndugu zangu, nikikumbuka Mzee wetu Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi alivyouacha uwaziri na kurudi mtaani na kupigika, sasa wewe unayewatisha watu kwa hako kacheo kako, siku zako zinahesabika, nazo zinapungua, anguko lako limekaribia. Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  10. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

    Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il. Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
  11. JamiiForums Tanzania Pamoja na mbwembwe zote za UK kumbe Buckingham Palace imechoka hivi

    Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
  12. JamiiForums Tanzania Pesa ni chanzo cha watu kuwa wavivu, pamoja na kutokuwa wazalishaji halisi; 'barter trade' irudi

    Pesa sio kipimio sahihi cha uzalishaji wa vitu. Chukulia mfano, mtu anaponda kokoto kwa kutumia mkono kwa siku 20 na kuweza kujaza tipa, na mwishowe analipwa laki 1; wakati huo huo mwingine ameudhuria kikao cha nusu saa tu, anapata laki 5; hii haiko sawa. Mkulima anatumia muda mwingi kwenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA NA GSM kumwaga hela YANGA wanachukua tena Ubingwa

    Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA. Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Ipo haja ya kuja na mfumo unaowezesha kupata huduma za pesa za mitandao ya simu mbalimbali kwa pamoja

    Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao. Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi anayohitaji kila mwanadamu

    Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:- Chakula Sehemu ya kulala Afya njema Mavazi Chakula Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuwajibike kwa pamoja

    (Kijana) Jioni ya leo siwezi kulala na njaa tena.Nitafanya kila namna nipate chakula. Nguvu nazo zimeanza kuniishia, sijui kama nitafanikiwa kutoka salama lakini siwezi kulala njaa na leo. Kuomba watu wameshanichoka, kazi hata za vibarua zimekuwa ngumu kupatikana nikae nife na njaa? Hapana...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

    Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na mishahara ya sasa ilivyo bado walimu waliishi maisha mazuri zamani kuliko sasa

    Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani. 1. Makazi/Nyumba za walimu zilikuwepo, walimu walikaa kwenye maeneo ya shule na hata kama hakukuwa na nyumba basi kijiji au...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa pamoja tupinge dhulma na kutetea haki

    Huu upumbavu wa vijana, wazee na jamii kwa kuujumla kugeuka na kuwa mashabiki wa wanasiasa ambao wengi wao ndio chanzo cha mamilioni ya vifo na umasikini wa watu wa Tanganyika ni hatari na dhambi kubwa duniani na ahera. Ukiwa na akili timamu, pumzi na maisha aliyokujalia Mwenyezi Mungu jifunze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…