pakistani

Pakistanis (Urdu: پاكِستانى قوم‎; Pakistani Qaum) are the people who are citizens of the modern Islamic Republic of Pakistan. Pakistan is a multi-ethnic and multilingual state: the majority of its people speak languages of the Indo-Aryan and Iranian language groups. As per the 2017 Census, the estimated population of Pakistan was over 212+ million making it the world's fifth most-populous country. In terms of overseas Pakistanis, there are an estimated 2.4 million Pakistanis living in Europe.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    FALSE A Pakistani JF-17 Thunder fighter jet crashed during landing?

    Guys, I just saw it. A Pakistani JF-17 Thunder fighter jet crashed during landing. The pilot had to eject in an emergency to save his life.
  2. R

    Watu zaidi ya 300 wamepoteza Maisha kwa Mafuriko Pakistan

    Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo zimeambatana na maporomoko ya ardhi, radi, maporomoko ya majengo na mafuriko ya ghafla, na kufanya...
  3. Mlaleo

    Mkuu wa Majeshi ya Pakistani tokea alipoenda kujificha kwenye handaki bila simu hadi leo hajulikani alipo.. Zawadi Nono atakayetoa taarifa.

    Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
  4. dem boyz

    India warusha makombora 6 ya balistiki kuelekea pakistani lakini yakaishia kuangukia kwenye ardhi yao wenyewe

    Luteni Jenerali Ahmed Sharif Chaudhry, mkurugenzi mkuu wa kitengo cha habari cha jeshi, Inter-Services Public Relations (ISPR), amedai kuwa India imefyatua “makombora sita ya balistiki” ambayo yaliangukia kwenye ardhi yake yenyewe.⁠ .⁠ Msemaji huyo wa jeshi alitoa taarifa hiyo katika saa za...
  5. mcTobby

    Baada ya ndege za India kupigwa ban kuruka anga ya Pakistani, hatimaye kutoka India hadi Marekani ni masaa 19 badala ya 14

    Hivi karibuni kama mlikuwa mnafuatilia habari za kidunia, kulikuwa na mgogoro baina ya India na pakistan. Mgogoro huu umepelekea serikali ya Pakistan kupiga marufuku ndege za abiria za india kuruka kupitia anga yake zinazoelekea marekani. Awali ndege za shirika la ndege la air India...
  6. Echolima1

    India yaikatia maji Pakistani. Pakistan yang’aka

    Mzozo kati ya mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia, India na Pakistan, unafikia kiwango kibaya sana baada ya India kuikatia maji ambayo ni mhimu sana katika nchi hiyo Naibu Waziri Mkuu wa Pakistan anatangaza: tunapinga kabisa uamuzi wa India wa kusitisha mkataba wa maji na sisi...
  7. Kijakazi

    Pakistani Unseen!

    hii ndiyo pakistani ( officially the islamic republic of pakistan) … Take a walk through the streets of Bhati Gate Lahore, Pakistan and explore local life and street food. This 4K walking tour captures everyday moments, market scenes and how locals live, shop and eat in this lesser-known town...
  8. The Mongolian Savage

    Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

    Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan. Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao...
  9. S

    Tume ya Uchaguzi wa Pakistani

    Wakuu waTume wamejiuzulu na kukiri wizi wa kura ,wakisadikisha kupora kura sahihi za wapiga kura 70000 za mgombea Uraisi Imran ambae hata hivyo ameibuka kidedea. Wakuu hao wamesema amri za kubadilisha zilitoka kwa wakuu wa vyombo vya usalama. Hapa kwetu wanaobadilisha ni hao wakuu wa Tume na...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    Baada ya Pakistani kumfurusha Balozi wa Iran, imeshambulia miji ya Iran iliyoko mpakani

    Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan. Pakistani intelligence official: Pakistan launched strikes inside Iran. Source: Al Jazeera, Agence France-Presse Na muda sio mrefu...
  11. Nsanzagee

    Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

    Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam! Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake. Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
  12. Richard

    Pakistan yamuita nyumbani balozi wake kutoka Iran na balozi wa Iran Pakistan alieko likizo Iran hatoruhusiwa kurudi kazini

    Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan. Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa baada ya jeshi la mapinduzi la Iran (IRG) kufanya mashambulizi ndani jimbo la Balochistan lililoko...
  13. M

    4 Reasons Why You Should Not Marry A Pakistani Man (Warning)

    4 Reasons Why You Should Not Marry A Pakistani Man (Warning) lovedevani.comDec 5, 2023 7:20 AM Marriage is not something to look down on. It's very serious and requires quite a lot of efforts to make it works. When two people fall for each other and decided to become one in a relationship called...
  14. Mlaleo

    Saudi Arabia ilishawahi mkataa Balozi wa Pakistan sababu ya jina lake ambalo ni tusi kubwa

    Diplomat Whose Name Is Dirty Word in Arabic Rejected as Saudi Ambassador story Published January 14, 2015 1:50am EST A high-ranking Pakistani diplomat reportedly cannot be appointed ambassador to Saudi Arabia because in Arabic his name translates into a phrase more appropriate for a porn...
  15. Rahma Salum

    Pakistani: Mlipuko wa bomu waua watu 6 na kujeruhi 13 katika hadhara ya Wapalestina

    Mlipuko wa bomu uliotokea Mei 21, 2021 katika mkutano wa hadhara wa Wapalestina Magharibi mwa Pakistani umeua watu 6 na kujeruhi 3 akiwemo kiongozi wa chama cha kidini chenye msimamo mkali. Bomu la pikipiki lililipuka wakati watu wakitawanyika mwishoni mwa mkutano uliofanyika katika Jiji la...
  16. Mlaleo

    Sheikh Mkubwa Pakistani awachana live Wapalestina asema Israel na Jerusalem ni kwa Wayahudi pekee according to Koran

    Kiongozi mkubwa kabisa Nchini Pakistani Maulana Muhammad Khan Sherani asema kuwa uislamu unatufundisha kuwa Israel ni nchi ya Wayahudi pekee. Je, ndio mpango mpya wa mahusiano ya kibalozi kati ya Israel na Pakistani yanapoelekea na kipigiwa chapuo? Kiongozi mkubwa wa kidini ni ashapitisha...
  17. FRANC THE GREAT

    Pakistani yafanya jaribio la kombora la nyuklia (Nuclear-Capable Ballistic Missile) siku chache baada ya India nayo kufanya jaribio kama hilo

    Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia Pakistani imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya...
Back
Top Bottom