Baada ya Pakistani kumfurusha Balozi wa Iran, imeshambulia miji ya Iran iliyoko mpakani

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,376
Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan.

Pakistani intelligence official: Pakistan launched strikes inside Iran.

Source: Al Jazeera, Agence France-Presse

Na muda sio mrefu lawama atatupiwa Israel
 
Hawezi kutupiwa kwasababu wenyewe washaambiana.
Pia hilo eneo ni wana share kam Kashmir tu.
Hivyo hakuna maafa ya kusema kuwe kuna wider escalations.
 
Nimewapenda sana Pakstan hawajataka pakuche wamelipa, Marekani kakoswa koswa Ubalozi wake ila hajamtupia Iran kitu
nadhani Hamna kitu marekani anaogopa kama vita, Hasa uharibifu wake, pengine ikitokea anajitaidi kupigania kwenye aridhi ya wengine
 
Nimewapenda sana Pakstan hawajataka pakuche wamelipa, Marekani kakoswa koswa Ubalozi wake ila hajamtupia Iran kitu
Alipolipua ni shared land kama kashmir.
Hakuna cha maana.
Pia yeye amedai amekusudia kulenga kundi la washika silaha linalosumbua Pakistan.
 
Nimewapenda sana Pakstan hawajataka pakuche wamelipa, Marekani kakoswa koswa Ubalozi wake ila hajamtupia Iran kitu
Acha uongo eneo la pakistani liloshambuliwa na iran ni jimbo la balochstan lililopo mpakani toka lini ubalozi wa marekani ukawa balochstan

Ubalozi wa marekani upo islamabad na sio balochstan
 
Uwe unatulia na kutafakari
 
Back
Top Bottom