pakistan

Pakistan, officially the Islamic Republic of Pakistan, is a country in South Asia. It is the world’s sixth-most populous country with a population exceeding 212.7 million people. In area, it is the 33rd-largest country, spanning 881,913 square kilometres (340,509 square miles). Pakistan has a 1,046-kilometre (650-mile) coastline along the Arabian Sea and Gulf of Oman in the south and is bordered by India to the east, Afghanistan to the west, Iran to the southwest, and China in the northeast. It is separated narrowly from Tajikistan by Afghanistan's Wakhan Corridor in the northwest, and also shares a maritime border with Oman.
The territory that now constitutes Pakistan was the site of several ancient cultures and intertwined with the history of the broader Indian subcontinent. The ancient history involves the Neolithic site of Mehrgarh and the Bronze Age Indus Valley Civilisation, and was later home to kingdoms ruled by people of different faiths and cultures, including Hindus, Indo-Greeks, Muslims, Turco-Mongols, Afghans and Sikhs. The area has been ruled by numerous empires and dynasties, including the Persian Achaemenid Empire, Alexander III of Macedon, the Seleucid Empire, the Indian Maurya Empire, the Gupta Empire, the Arab Umayyad Caliphate, the Delhi Sultanate, the Mongol Empire, the Mughal Empire, the Afghan Durrani Empire, the Sikh Empire (partially) and, most recently, the British Indian Empire. Pakistan is the only country to have been created in the name of Islam. It is an ethnically and linguistically diverse country, with similarly diverse geography and wildlife. Initially a dominion, Pakistan adopted a constitution in 1956, becoming an Islamic republic. An ethnic civil war and Indian military intervention in 1971 resulted in the secession of East Pakistan as the new country of Bangladesh. In 1973, Pakistan adopted a new constitution which stipulated that all laws are to conform to the injunctions of Islam as laid down in the Quran and Sunnah.A middle power, Pakistan has the sixth-largest standing armed forces in the world and is also a nuclear power as well as a declared nuclear-weapons state, the second in South Asia and the only nation in the Muslim world to have that status. Pakistan has a semi-industrialised economy with a well-integrated agriculture sector and a growing services sector. It is ranked among the emerging and growth-leading economies of the world, and is backed by one of the world's largest and fastest-growing middle class. Pakistan's political history since independence has been characterized by periods of military rule, political instability and conflicts with India. The country continues to face challenging problems, including overpopulation, terrorism, poverty, illiteracy, and corruption. Pakistan is a member of the UN, the Shanghai Cooperation Organisation, the OIC, the Commonwealth of Nations, the SAARC, the Islamic Military Counter Terrorism Coalition and the Major non-NATO ally.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Watu 24 wafakiri Pakistan baada ya basi kutumbukia kwenye mto Rajbari

    Takriban watu 24 wamepoteza maisha kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea siku ya Jumatano, Machi 25, 2026, katika eneo la Daulatdia, wilaya ya Rajbari nchini Bangladesh. Ajali hiyo ilitokea wakati basi hilo likijaribu kupanda kivuko (ferry) ili kuvuka Mto Padma. Inaripotiwa kuwa dereva wa...
  2. I

    Pakistan yaipigia magoti Israel kuiomba isiwaue Abbas Araqchi na Mohammed Bakari kwani ni watu muhimu kwenye mazungumuzo.

    Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi...
  3. Yoda

    Pakistan waliwezaje kutengeneza na kumiliki silaha za nuclear bila kuingiliwa na Marekani?

    Hivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
  4. 2019

    Pakistan, India wana silaha za nyuklia kwanini Iran ikatazwe?

    Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine? Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
  5. M

    Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  6. MK254

    Watu nane wafa kwenye maandamano karibu na ubalozi wa Marekani kule Pakistan

    Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata amewahi kutoka nje ya nchi. Nasubiri nione wa huku uswahilini na wao wakiliamsha. ===================...
  7. The Dictator

    Week hii imechangamka ghafla sana. Huku Israel na Irani wanadundana, ukiangalia kule Pakistan na Afghanistan napo pamoto.

    Warmongers msiishiwe mabando tu ila kazi kwenu😂😂
  8. Indiana Pacers

    Vita ya Pakistan na Afghanistan Mmeipotezea?

    Jukwaa hili maarufu la nyuzi za kimataifa hasa vita zinazotokea na zilizotokea mmepotezea vita ya Pakistan na Afghanistan?
  9. Mindyou

    SI KWELI Afghanistan imeangusha ndege ya Pakistan

    Wakuu, Nimeona hii picha inadaiwa kuwa ni ndege ya Pakistani imeshambuliwa na jeshi la Afighanstan. Uhalisia upoje?
  10. Waufukweni

    Muda wa wastani wa tendo la ndoa Duniani: Ecuador yaongoza wanatumia dakika 24, Pakistan ya mwisho wanatumia sekunde 42

    Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
  11. W

    FALSE A Pakistani JF-17 Thunder fighter jet crashed during landing?

    Guys, I just saw it. A Pakistani JF-17 Thunder fighter jet crashed during landing. The pilot had to eject in an emergency to save his life.
  12. Dalton elijah

    Tawi La IS Pakistan limedai Kuhusika na shambulizi la kujitoa mhanga

    Tawi la kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu IS limedai kuhusika na shambulizi la kujitoa mhanga dhidi ya msikiti mmoja wa madhehebu ya Washia Pakistan lililosababisha vifo vya watu 31 na kujeruhiwa kwa wengine 169, huku waombolezaji wakikusanyika leo chini ya ulinzi mkali katika...
  13. ELI COHEN

    Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  14. MK254

    Jamaa ajilipua kwa bomu kwenye harusi huko Pakistan

    Kuwaelewa makobaz kunahitaji elimu isiyo ya kawaida. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan – The death toll from a suicide bombing at a wedding near the Afghan border rose to seven on Jan 24, police said, as Pakistan struggles to deal with a rising wave of militant attacks The bombing tore through a...
  15. McLaren

    Gazeti hili la Pakistan limesahau kuondoa prompt ya ChatGPT mpaka gazeti limefikia wasomaji

    Wakuu Nimewaza tu hivi hili gazeti halina wahariri pamoja na cross checkers? Au hawa walikuwa wanawahi wapi to the point wamefanya kosa la wazi kama hili? ======== Gazeti maarufu la Kiingereza nchini Pakistan, Dawn, limeingia kwenye headlines duniani baada ya prompt ya ChatGPTkusahaulika...
  16. Ritz

    Pakistan: Hatuwezi kukubali ghilba kutoka kwa dola mbovu la Israel isiyowajibika, kwa hakika muasisi wa aina ya ugaidi

    Wanaukumbi. Israel na Pakistan 🇵🇰 zilichuana vikali katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Israel kuitaja Pakistan mara kwa mara kwa jina: Pakistan inaishutumu Israel, inasema ni "mkaaji anayejifanya kuwa mwathirika, anayekiuka maazimio ya Umoja wa Mataifa na kufanya ugaidi wa...
  17. Mkushi Mbishi

    Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  18. R

    Watu zaidi ya 300 wamepoteza Maisha kwa Mafuriko Pakistan

    Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo zimeambatana na maporomoko ya ardhi, radi, maporomoko ya majengo na mafuriko ya ghafla, na kufanya...
  19. DuaZaMama

    Wabunge wa bunge la Pakistan wazichapa

    Mvutano mkali ulitokea ndani ya Bunge la Mkoa wa Punjab, Pakistan, siku ya Jumatatu, baada ya mbunge wa chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI), Khalid Nisar Dogar, kumshambulia kimwili mbunge wa Pakistan Muslim League-Nawaz (PML-N), Hassan Riaz. Tukio hilo lilianza wakati wa majibizano makali...
  20. R

    Mamlaka ya Pakistan imekamata Simba 18, waliokua wakifugwa Nyumbani

    Mamlaka ya Pakistan imesema imekamata simba 18 waliokuwa wakifugwa kama wanyama wa nyumbani. Maafisa wamesema siku ya Jumatatu walipoanzisha msako baada ya simba mmoja kutoroka kutoka nyumba alikokuwa akifugwa na kumshambulia mwanamke pamoja na watoto wawili ==== Pakistani authorities...
Back
Top Bottom