"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
Lilikuwa Bunge (2020-2025) la aina yake katika historia ya Tanzania tangu tuanze mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995. Katika kuwa na wabunge waliochaguliwa, mwaka 1995 tulianza na wabunge wa upinzani 23, 2000 wakawa 26, 2005 wakawa 41, 2010 wakawa 84, 2015 wakawa 112 wa upinzani, mwaka 2020...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema tukio la yeye kushambuliwa na watu wasiojulikana linafahamika vizuri na vyombo vya dola, na kwamba hatua zaidi kuhusu uchunguzi na haki zipo katika vyombo hivyo vya usalama.
"Vyombo vya dola vimekuja...
Padri Kitima Kwa sasa Viongozi wapo juu ya wananchi, Hawawasikilizi tena Wananchi wanalalamika lakini wanawapuuza kama sisi wanavyotuuza, sasa hicho kiti kizuri kwa sababu unapowanyanganya watu madaraka ya kutawala nchi yao unajenga obwe la uwajibikaji na hapo hapo tujahakikisha unadumu madarakani.
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema;
"Unaposema tusitetee Uhai wa Mtu, Mdude haonekani mpaka sasa hivi, alikuwa anachambua mambo ya Siasa ya Nchi wengine hawafurahi, sasa unaposema tusimtetee wakati sisi Kazi yetu ni kutetea Uhai wa Mtu...
https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7
Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka hospitali alikokuwa anapatiwa matibabu kwa takribani mwezi mmoja baada ya tukio la shambulizi dhidi yake.
Padri Kitima...
Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni?
Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima.
Move imekuja kuharibika kupitia...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
Baada ya Shambulio la KITIMA , RPC Muliro akajiwahi kutoa Taarifa yenye lengo la kupotosha .
Baada ya Shambulio la Mdude, RPC Mbeya akajiwahi nayeye kutoa tamko kwamba hawajamkamata Mdude.
Sasa haya ni maneno niloyanukuu kwenye habari chunguzi za PAMBAZUKO kuhusu Shambulio la KITIMA...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.
Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya...
https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
Wakuu,
Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚.
Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.
Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.
Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye...
TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO
DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA
Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
Ajabu Tanzania ni uwepo wa watu wanao teka, kutesa na kuuwa hata viongozi wa Dini lakini hawakamatwi. (Wanamiliki magari, silaha kubwa na ndogo). Tunajiuliza ni usalama na amani ipi vinayozungumzwa Tanzania. Taifa linaelekea wapi!
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni.
Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.