padre kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima Awataka Watanzania Kuwa na Imani na Ujumbe wa Maaskofu, Ataka Utulivu Katika Mkwamo wa Kisiasa

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu uliopita...
  2. JamiiForums Tanzania Lilianza la kuandamana Ubalozi wa Vatican kutaka Padre Kitima akae pembeni saivi Maandamano ya kutaka Heche akae pembeni😂

    Hii Nchi Wenye akili waliuliwa October 29. Endeleeen kupumzika kwa Amani ndugu zetu.🙏
  3. R

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu afanya Mazungumzo ya kudumisha amani na Padre Kitima

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 06 Julai, 2026 katika Ofisi za Makao Makuu ya TEC, Kurasini...
  4. JamiiForums Tanzania Padri Dkt. Kitima: Sasa hivi Watanzania wanawekezewa kuwa wajinga. Kazi yetu kubwa viongozi ni kuwapumbaza wale tunaowaongoza

    kKWakuu, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, ametoa hotuba nzito na ya aina yake akiwashutumu viongozi na watawala nchini kwa kile alichokiita "kukosa maono ya kiuchumi" na kujikita katika kuwapumbaza wananchi badala ya kuwakomboa. Akizungumza...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

    Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki!! Soma Pia: PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista
  6. JamiiForums Tanzania Huwezi kumuelewa Padre Kitima mpaka ukutane nae

    Huwezi kumuelewa Padri Kitima kama bado hujakutana na Changamoto ya wasiojulikana mbali na mengine yote huyu Mzee ni hazina ya Taifa alindwe kwa wivu Mkubwa,, Japo ni mwiba kwa watawala ila ni alama ya msimamo juu ya uanaume na maamuzi magumu huitaji kutumia nguvu kubwa kama unafungua bolt za...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

    Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo? Sisemi mjenge uadui na serikali, hapana. Ila msiwahusishe, waje kama waombolezaji wengine na wapewe kiti cha mbele , lakini si wabeba msiba. Msiwasafishe kwa ya 29/10. Kesho hamtawakemea wakitenda maovu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  9. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wakatoliki tuna sheria nzuri sana, ukitaka kumtuhumu Kitima anzia kwa Paroko. Ukianzia kwa Papa utarudishwa kwa Paroko

    Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania alisema: "Sisi kwenye Kanisa Katoliki wewe ukiwa na shida yoyote hata kama ukiwa unataka...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Friends and Our Enemies... Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything' Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa. Kitima who...
  11. JamiiForums Tanzania Matata: Padre Kitima siyo mshauri wa CHADEMA, Mchange ana uwezo mdogo wa kufikiri mpuuzeni

    “Father Kitima siyo mshauri wa Chadema kama anavyosema Mchange, Uwezo wa Mchange wa kufikiri ni Mdogo hivyo mpuuzeni” Adv. Matata
  12. JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista

    Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre Chesco

    Padre Kitima amuaga Padre Chesco Msaga kwa Maneno mazito | "Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre." Padre Chesco Msaga C.PP.S aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Kristo Duniani, ameagwa leo Ijumaa tarehe 19/12/2025 katika Kikanisa kilichopo...
  15. JamiiForums Tanzania Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu. Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote...
  16. JamiiForums Tanzania Tutarajie Masheikh katika kiwango Chao Cha juu Cha Ujinga kuanza kumshambulia The Genius Mjumbe Wa Mungu Padre Kitima

    Yaan Muue watu, Muendelee Kudanganya. Muendelee KUTEKA. Muendelee Kuua . Hamtaki kutupa Miili yetu tuzike Kwa heshima. Muendelee kushikilia watu kwa kesi za Uongo. Hiii inaitwa Tunakupiga Kila Kona !!. Dec 9 Maandamano yako palepale !!.
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Rais aliwahi kusema huwezi kuwa Polisi halafu ujichunguze. Kwanini sentensi hii isiongelewe leo?

    Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo? Pia amehoji serikali kuunda tume ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Mwenye dhamana kwa yaliyotokea yupo, awajibike!

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa uchaguzi siyo ya kwanza katika historia ya Tanzania. Amesisitiza kwamba mwenye dhamana juu ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Tanzania sasa hivi hakuna Election kuna Selection

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi) bali kuna utamaduni wa selection (kujichagua) akisisitiza kuwa nchi hii isiendeshwe na mtu ni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…