Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imesema kwamba katika msimu huu wa mvua za masika, kunatarajiwa ongezeko la mvua katika mwezi wa Nne mwaka huu 2025.
Akizungumza na Torchmedia ofisini kwake jijini Dar es Salaam, mchambuzi wa hali ya hewa kutoka TMA, Joyce Makwata, amesema kwamba...