Mwanasiasa mkongwe na Mbunge wa zamani wa Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amepinga vikali matukio ya utekaji yanayoripotiwa kutokea nchini, akiyataja kuwa ni vitendo vya hovyo na visivyokubalika katika taifa linalothamini haki na utu wa binadamu
Akizungumza...
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewaonya vikali wanaCCM wanaoshiriki kubomoa heshima ya Nchi na heshima ya Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu ya kutokuteuliwa na Chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
Mwanasiasa mkongwe na mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amesema kuwa chama cha mapinduzi hakiungi mkono mwenendo wa matukio ya utekaji yanayoripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini.
Sendeka ameyasema hayo wakati akizunguma katika mkutano na waandishi wa habari...
Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaoeneza propaganda dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akidai kuwa wengi wao ni wafanyabiashara waliokosa zabuni za Serikali.
Akizungumza na waandishi wa...
Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
"Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Mbunge Wa Simanjiro mkoani Manyara Bw. Christophar Ole Sendeka amewataka wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa ambao hawakupata nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi za Urais ubunge na udiwani kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarahe 29...
Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wamefyekwa.
Vikao hivyo vilivyoendeshwa kwa usiri mkubwa vimetaja watia...
Kesi hii ni nzito. Serikali ya JMT kuamua kumshitaki mtu huyu mahakamani haiwezi kuwa ilikurupuka. Na kesi yo yote ikishakuwa mahakamani huwa ni marufuku kuingilia kwa njia yo yote. Sheria huwa inaachiwa ifuate mkondo wake.
Haya aliyoyasema Ole Sendeka si kuingilia kweli kesi iliyoko...
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Uchaguzi mkuu unakaribia na katika jimbo la Simanjiro wanatajwa wengi kuwania nafasi ya ubunge , Tunahitaji angalau wawakilishi wenye kiwango kikubwa cha Elimu ,si elimu itasaidia lakini angalau itawafanya wabunge kuwa waadilifu.
Huenda isifanye wawe waadilifu lakini basi itawafanya waweze...
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris.
Marejeo na...
Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona?
Naomba picha nilione na mie
Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
Hebu msome hapa halafu Tafakari
Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini?
---
Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!
Tundu...
Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!
---
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...
Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk.
Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa.
Yupo wapi?
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.
Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la...
Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.