oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 na fursa ya utajiri wa nje nje

    Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu yako vizuri. Masoko Vyuo vikuu, mtandaoni ndo baba lao, Haya tajirika na wewe, hakikisha Kuna chapa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amos Makalla: Hatutotaka tena vurugu za Oktoba 29, zitokee Tena Arusha

    "Hatutotaka tena vurugu hizo za tarehe 29, zitokee Tena katika mkoa wetu wa Arusha. Tumejipanga, tutahakikisha tunawalinnda watanzania, tunawalinda wananchi, tunawalinda watalii" Amos Makalla, mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza mbele ya waziri mkuu Mwigulu Nchemba leo Novemba 30, 2025
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amos Makalla: Oktoba 29 hakukuwa na maandamano, kulikuwa na vurugu

    Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu. "Katika taarifa yangu niliyokukabidhi, nimeeleza athari za vurugu za tarehe 29, katika taarifa yangu kuanzia page ya kwanza...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi waliofanya mauaji ya Oktoba 29 wamepandishwa vyeo mara 2

    Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dk Mwigulu ana kibarua kigumu kufunika uovu wa Oktoba 29, 2025

    Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Dk Mwigulu Nchemba ana kibarua kigumu kuisafisha Serikali na uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama kwenye maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025. Novemba 24 Dk Mwigulu alifanya ziara...
  6. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ibrahim Msengi: Kilichotokea Oktoba 29 ilikuwa ni uharamia

    Mkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru...
  7. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29 tusingependa yajirudie tena. Tuweke hoja mezani

    Watanzania wenzangu, Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia mbadala, zenye hekima na utulivu ili kufikia makubaliano kwa hoja, si chokochoko. Ndugu zangu, hebu...
  8. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN wapo live, nukta kwa nukta juu ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29, 2025

    Leo kitengo cha mawasiliano serikalini wana kazi nzito sana, sijui watachomokakaje na hii report https://www.youtube.com/live/_rc5FxROnDs?si=UAsP2YZa9uBveWg1
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba: Watanzania Walikufa, Haki Itarudi!

    Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo wamebaki kuwa ghosts kwenye mtaa huu wa dunia. Na serikali? Wamefunga macho kama hawaoni. Sasa, what’s...
  10. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba nilitiki kwa mbinde

    Ila kutiki! 😀😀😀😁 Asubuhi ya October 29 nimeamka zangu nikawa na kiherehere mwenzenu, nikakimbilia kituo cha kupigia kura! Wakati huo basi mambo shwari, nikawa najibaraguza pale napiga stori na makarani huku nikijifanya mimi ni usalama wa Taifa. Mara paap, ma-genZ yakatuvamia, jamani...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Hatukuripoti matukio ya Oktoba 29, wachochezi walikuwa wakihamasisha vijana kuja kuchoma vituo vya Shirika na hata kutuua sisi

    Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook; Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu tuweke pembeni mihemuko ya kibinadamu. Tujadili kama ndugu. Ni kweli, sote tumeishakoseana. Hivi...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC awajia juu wanaodai uwajibikaji wa watendaji wa serikali. Asema tusijidanganye kwamba 29 Oktoba kulikuwa tu na mauaji ya raia

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika: Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye kumbukumbu. Naona sasa ni kama vile 'narrative' inabadilishwa kwa sababu ya propaganda! Ni hivi...
  13. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tangu tarehe 29 Oktoba, najihisi Mtanganyika na kuchukia Utanzania wangu

    Kama kichwa cha habari kilivyo, kuanzia tarehe tajwa, najihisi Mtanganyika. Napanga kuuzika utanzania wangu. Je Watanganyika wenzangu mnapitia ninachopitia?
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Peleus Mshumbu alikamatwa na Polisi tangu Oktoba 26, lakini familia inazuiwa kumuona na polisi awatoi taarifa

    Anaitwa Peleus Mshumbu Justinian ni Mwinjilisti wa KKKT mtaa wa ndama Usharika wa Nyabwegira, tarehe 26 October 2025 alikamatwa na Police yeye na mke wake wakiwa nyumbani kwao Ndama. Baada ya kufikishwa kituo cha police Kayanga wilayani Karagwe alihojiwa kwa kuhubiri mahubiri yenye uchochezi...
  17. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wametoa tamko yaliyotokea Oktoba 29, 2025

    Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa unyama wa Oktoba 29, sijui wala kuamini kuwa polisi wetu ni binadamu kama sisi

    Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
Back
Top Bottom