oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Mzee wa Upako: Nimeumia sana waumini wangu walipoteza maisha Oktoba 29

    Antony Lusekelo maarufu kama Mzee waupako afunguka mazito baadhi ya waumini wake kupoteza maisha kwenye maandamano ya October 29. "Niwape pole sana watanzania hakuna mtu ambaye hajaguswa na jambo hili, mimi mwenyewe kuna wanaumini wangu walipigwa risasi Kimara"
  2. PostGE2025 Video: Polisi ilimwachia akakikimbia, akapigwa Risasi ya kwanza ikamkosa, ikapigwa Risasi ya pili ikampata akaanguka na kufariki

    Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X; Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania. Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA MKOANI SONGWE. Hapo alishushwa kwenye Gari la Polisi baada ya kupigwa sana na kuambiwa AKIMBIE...
  3. Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  4. PostGE2025 Kikao kijacho cha Bunge liazimie tarehe 29 Oktoba kila mwaka iwe kumbukizi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Serikali ya Samia kwa Watanganyika

    Ni wazi na ukweli kuwa tarehe 29 Oktoba 2025 itakumbukwa milele kama siku ambayo Watanganyika kwa mamia waliuawa kikatili na utawala wa Samia Suluhu Hassan! Kwa siku tano mfululizo Watanganyika walishuhudia wenzao wakipigwa risasi na polisi kama swala porini! Ni siku ambayo Samia, CDF Mkunda na...
  5. Tetesi: Polisi waliofanya mauaji ya Oktoba 29 wamepandishwa vyeo mara 2

    Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo...
  6. PostGE2025 Nguvu ya umma ni ya kuogopwa MO29 BIla risasi October 31 tungeingia ikulu

    GT Wanaojua nguvu ya umma wanaheshima sana.l raia, Serikali ni watu na watu wakiamua.huna cha kufanya. M029 ilibaki kidogo tu mbuyu udondoke mpaka sasa.mamlaka zipo paralysed hawajui wafanye nini wanalialia tu. GET READY D#9 IS COMING .
  7. PostGE2025 Dk Mwigulu ana kibarua kigumu kufunika uovu wa Oktoba 29, 2025

    Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Dk Mwigulu Nchemba ana kibarua kigumu kuisafisha Serikali na uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama kwenye maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025. Novemba 24 Dk Mwigulu alifanya ziara...
  8. PostGE2025 Waandamanaji na Chama cha upinzani wana uwawa sio kwasababu ni wahaini au wamechoma vitu kwasababu walitaka Samia aondoke madarakani

    Waandamanaji na Chama cha upinzani wana uwawa sio kwasababu ni wahaini au wamechoma vitu kwasababu walitaka Samia aondoke madarakani. Lissu yupo gerezani kwasababu samia asisumbuliwe, watu wamepigwa risasi si kwasababu wamechoma vitu kwenye maandamano kwasababu wanataka samia aondoke madarakani...
  9. PostGE2025 Fedha Zilizotengwa Kwa ajili ya Ukarabati Miundombinu Iliyoharibika Zitaweza kurudisha Uhai Wa Waliopigwa Risasi Wakipinga Ukandamizaji wa Haki?

    Nimesikia Fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe za uhuru zimeelekezwa kutumika kukarabati miundombinu iliyoharibiwa. Swali langu, Je fedha hizo zitaweza kurejesha uhai wa wale waliopoteza maisha wakiandamana kudai haki zao kikatiba? Je, kulikuwa na sababu gani kutoa uhai wa watanzania...
  10. PostGE2025 Hii ndio Serikali pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi badala Serikali ianze kutekeleza majukumu, ipo kwenye vita na Wananchi na Dunia

    Hii ndio serikali pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi badala serikali ianze kutekeleza majikumu ipo kwenye vita na wananchi na dunia Tulisema kujitangaza na kujiapisha haitobadilisha kitu, bali ni makosa zaidi, nchi haitawaliki hii na haito tawalika mpaka mabadiliko.
  11. PostGE2025 Dkt. Rioba: Vyombo vya Habari vilitishiwa kuchomwa, tungeripoti vipi Oktoba 29?

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja kuhusu namna ya kuripoti uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Dkt. Rioba amesema kuwa licha ya...
  12. PostGE2025 Ibrahim Msengi: Kilichotokea Oktoba 29 ilikuwa ni uharamia

    Mkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru...
  13. PostGE2025 Wanatumia nguvu nyingi kuondoa uhai wa raia ili kupata madaraka na kufanya ANASA

    Msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, ameshangazwa na kile anachoeleza kuwa ni matumizi makubwa ya nguvu, including kuua watu, yanayofanywa na baadhi ya viongozi wa Tanzania kwa lengo la kulinda madaraka wanayoyatumia kujinufaisha badala ya kuwahudumia wananchi. Roma anasema fedha...
  14. PostGE2025 Wananchi wahoji kufuatia kauli za serikali; Yaani tupeleke miili vyumba vya kuhifadhi maiti halafu kuifuata twende polisi!

    Ikumbukwe siku ya jana msemaji wa serikali alisema wananchi waende kuchukua miili polisi na sio sehemu husika ya kuchukua wapendwa wao, hali iliyozua mjadala mkubwa kwa wananchi. Kuna wananchi walipeleka miili kwenye baadhi ya hospitali lakini walikuta haipo, na kuna wengine tangu maandamano ya...
  15. PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29 yasingetokea na kuichafua nchi yetu kama hayati Hayati Magufuli angekuwepo

    Alipingana na ufisadi. Upendeleo wa kifamilia na kisiasa. Hakuna aliyejua juu ya habari ya watoto wake na familia yake. Alipenda kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma. Wananchi walimpenda maana alikuwa upande wao. Alikuwa pamoja na wananchi wanyonge. Hakuna raia wa kawaida angethubutu...
  16. H

    PostGE2025 Yaliyotokea Oktoba 29 tusingependa yajirudie tena. Tuweke hoja mezani

    Watanzania wenzangu, Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia mbadala, zenye hekima na utulivu ili kufikia makubaliano kwa hoja, si chokochoko. Ndugu zangu, hebu...
  17. PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Mwenyezi Mungu ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania. Ameniambia atamalizana na wanaopanga kuliangamiza Taifa

    Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu. "Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za kuivuruga Tanzania hazitafanikiwa! Amenionesha kuwa ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania na...
  18. PostGE2025 CNN wapo live, nukta kwa nukta juu ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29, 2025

    Leo kitengo cha mawasiliano serikalini wana kazi nzito sana, sijui watachomokakaje na hii report https://www.youtube.com/live/_rc5FxROnDs?si=UAsP2YZa9uBveWg1
  19. PostGE2025 Twaha Mwaipaya: Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana

    Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana na hii imetokana na serikali imekuwa ikipoka mchakato wa wananchi. Watu wamelalamika na mifumo ya uchaguzi tangu 1995 ambapo Mrema aliliamika kuibiwa kura zake, 2000 CUF pia walilamika, 2015 ndivyo hivyo 2019 katika uchaguzi wa serikali za...
  20. PostGE2025 Msimamo wa CHADEMA kuhusu tume iliyoandaliwa kuchunguza “matukio ya uvunjifu wa amani” baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025

    MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA “MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI” BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma wa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwamba haiitambui Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Ndg. Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…