oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Adam Malima: Ulinzi na usalama umeimarishwa kikamilifu kuelekea uchaguzi mkuu kesho Oktoba 29

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amewahakikishia wananchi wa mkoa huo kuwa hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa kikamilifu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 29, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 28, 2025, Malima amesema kuwa hakuna taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila "maandalizi kuelekea oktoba 29 yamkamilika" |ahimiza wananchi kupiga kura

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa Mwisho Kwa Mzee Butiku kabla ya Oktoba 29 , Waombe Radhi Watanzania mara Moja, Walokupa Uenyekiti wa Maridhiano ,Warudishie !!

    We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!. Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo. Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi wasomi na Ma Prof wa Nchi hii?, Unapenda Uenyekiti ?? Uenyekiti wa malupulupu?? Sasa nakuhakikishia...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania tusirudi nyuma, ushindi ni wetu na imekuwa tayari 29 October.. Tanzania huru imekuja

    Watanzania tusirudi nyuma. Ushindi upo upande wetu. Nipo sehemu jamaa wameisha kubali mziki, ila mambo wanayo fanya wanatapa tapa. Chawa wa mama pro hapa kakataa tamaaa sikuamini kama huyu mbwaaa ata surrender... Damu ya Mafwele mniachie mie niinywe live
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania huru 29 Oktoba

    Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ). Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika. 29...
  6. JamiiForums Tanzania Oktoba 29 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa! Je, Watanzania Watachagua nini kati ya Visible, Tangible Deliverables vs Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 29, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2025 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu wa Kanisa la Anglikana, Jacob Kahemele amewasihi Watanzania kupiga kura Oktoba 29, 2025, baada ya hapo watazungumza wanayoona hayako sawa

    Kutoka X: Askofu unakuwaje na mke mtumishi wa umma ? Halafu unaibuka kutetea serikali iliyompa cheo mkeo? Haoni haja ya kukemea utekaji, mauaji and the like, ameona la muhimu ni kupiga kura. Takataka mavi Huyu ana mke na watoto, lazima atetee tumbo la uzao wake. Mtombi tu kama watombi wengine
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakuu wa vyombo vya habari wahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Wakuu wa vyombo vya habari na wahariri waandamizi nchini Tanzania wamekutana leo oktoba 25, 2025 katika jengo la Millenium Tower Jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 29, 2025. Tukio hilo lilikuwa na dhumuni la kuwakabidhi...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba SC itacheza mechi ya kirafiki Oktoba 29, 2025

  10. JamiiForums Tanzania GE2025 DC Msando: Oktoba 29 imetangazwa kuwa siku ya uchaguzi, hivyo ni marufuku kuandamana kwa kigezo cha kudai haki

    Huyu jamaa naye anamikwara sana! ==================== Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Albert Msando, amesema serikali haitatoa kibali chochote cha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa siku hiyo imetengwa mahsusi kwa ajili ya wananchi kushiriki katika zoezi la uchaguzi...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Mnigeria kuhusu uchafuzi wa Oktoba 29!

    Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa! Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau. This woman….what has become of her? https://youtu.be/J74HbQn--9k?si=lBxkXpYzIRwtkVDz
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda atoa elimu Zanzibar ya namna ya kupiga kura Oktoba 29

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa elimu ya namna ya kupiga kura kwa baadhi ya wananchi wa visiwani Zanzibar. Makonda ambaye amewasili visiwani humo mapema leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025 kwa ajili ya kumuombea kura mgombea urais wa Jamhuri ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Oktoba 29 tutarusha makombora kuwajibu wahuni wanaotaka kuvunja amani

    Nchi hii ukidai haki unaitwa Muhuni kisha kuna kikundi kitakwambia wanakushughulikia alafu Mkuu wao anamaliza kwa kusema anaongoza kwa kutumia 4R, hakutakuwa na nywinywi wala nywi nywinywi :FeelsWeirdMan: --------------- Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa elimu ya Juu Tanzania TAHLISO ambaye pia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Video: Ukitaka kwenda kutiki Oktoba 29 hiki ndo kitakachokukuta

    Wakuu, Oktoba 29 tunatoka kuanza kazi na hawa jamaa wa baiskeli na tisheti za buku, ni wakati wa kukomboa nchi kama hawajielewi tutawaelesha a
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Nasaha kwa vijana kuelekea Oktoba 29

    Msikilize aliyekua kada wa CHADEMA akiwaonya vijana Tazama video hii jibuni hoja msimshambulie kijana ambaye anajielewa. https://www.facebook.com/share/v/16YHaW4dSB/?mibextid=wwXIfr
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Steve Nyerere: Vijana wasithubutu kuandamana Oktoba 29

    Steve amesema vijana kwanza wasithubutu kwenda kuandamana/kutoka kwa sababu hili taifa ni lao, taifa alimtazami mzee bali linamtazama kijana wa leo anaenda kushika hatam kwenye taifa hili. Hatam ya kulinda heshima, na kulinda usalama na kulinda Tanzania. Huyu jamaa yeye ni mnufaika wa mfumo...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Awadh Said: Jeshi la Polisi simamieni ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani

    Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo. Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z waamka na ratiba mpya ya maandamano Oktoba 29

  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kawaida: Wenzetu wamekubali kushindwa ndo maana wanapanga Maandamano, tuhamasishane Oktoba 29 tukatiki

    Akizungumza wakati akifunga kampeni katika Jimbo la Makunduchi ambapo Mkutano huo uLIfanyika katika uwanja wa Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Cde. Kawaida amewataka wananchi wa Makunduchi na Watanzania kwa ujumla kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…