ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

    Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao; 1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa. 2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika). 3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji. 4. Maafisa...
  2. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

    Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa? Rais hawezi kumwambia Waziri...
  3. S

    Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  4. Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  5. Masekretari wengi wa ofisini wanaliwa na mabosi ndio maana wanadharau wateja

    Habari za asubuhi Wana JF, Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa kazi. Nilienda field mkoa X ofisi niliofikia kulikuwa na secretary mmoja she is beautiful Ila alikuwa...
  6. Wapi naweza kupata viti vya ofisini vya mtumba? Bei zake zikoje?

    Asalaam Aleikh. Wakuu wapi naweza kupata viti vya ofisini vya mtumba. Viti vile unaweza udjust urefu na vya kuzunguka. Bei yake ipo namna gani? Natanguliza shukrani.
  7. INAUZWA Kwa mahitaji ya diffuser za kwenye magari nyumbani ofisini

    Kuna wateja mlikuwa mnataka Sana hizi diffuser za kwenye gari, zimepatikana CHACHE, please kama unahitaji wahi. TSh 60,000 unapata na essential oil 1 👉🏾Posta Samora DSM Tunafanya delivery Mikoani tunatuma Call/whatsapp#0673485081
  8. S

    Naungana na DC Mwanukuzi kupinga wezi wa kuku kufungwa wezi wa mamilioni serikalini kubaki ofisini

    Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini. "Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
  9. G

    Rafiki tuliyezoeana muda mrefu kapunguza mawasiliano na mimi, ni wiki mwezi tangu nifungue biashara karibu na ofisini kwake je, ndio chanzo?

    Alikuwa ni rafiki ambae ananichangamkia sana haipiti siku bila kunitumia meseji za salamu, alikuwa anapenda tuchat, kukumbushana visa vya shuleni, n.k. Kiukweli niwe muwazi kiuchumi tumepishana ila hatuchunguzani sana, tunajuana vichache yeye anajua tu kwamba mimi nina biashara kadhaa ambazo...
  10. A

    Mfanya usafi ofisini

    Wakuu, Kuna nafasi ya kazi kwa mwanamke(temporary)ya kufanya usafi ofisini. Ofisi ipo Victoria/Regent Estate mtaa wa Migombani karibu na NEMC au Kairuki hospital. Muda wa kazi ni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kutoka ni saa 5asubuhi. Mshahara ni 150,000 kwa mwezi. Kwa anayehitaji naomba...
  11. Makatibu wa Kanda wa CHADEMA watua ofisini kwa Waziri Bashe, wajiapiza kuwa mabalozi wa kilimo

    Kwa kweli sasataifa limeungana chini ya Samia, naanza kuelewa kwa nini Lissu kaamua kuondoka
  12. M

    99% ya Viongozi, Mabosi Ofisini, Matajiri na Watu maarufu 'Wanarogwa' sana na mno na 'Chawa' wao

    Hakuna Chawa wa Kiongozi, Bosi, Tajiri au Mtu maarufu yoyote asiyezunguka kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga ili asitoswe na awe anapiga Pesa za Bwerere.
  13. Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  14. Ubungo waandamana ofisini kwa DC kudai Maji

    Wakazi wa eneo la Luguruni Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam wameandamana hadi ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo (DC), Kheri James kudai huduma ya maji waliyoikosa kwa miezi mitatu sasa huku wakiletewa bili. Wakazi hao wakiwa wamebeba ndoo zao zikiwa tupu walikuwa wakiimba nyimbo...
  15. Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

    Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
  16. Waziri Mkuu wa UK adumisha tamaduni kabla ya kuingia ofisini

    Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya. The new UK PM performing his spiritual/traditional...
  17. M

    Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

    Hawa vijana waliowahi kujiteka wanamatatizo sana. 👇
  18. Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

    Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea. Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu...
  19. B

    Polisi wauwaji wafikishwe kunako stahili

    Ashakum si matusi polisi Mara: Kwa kutuona je vile? Ama kwa hakika kuitisha watu hawa kufikishwa kunakostahili, ni kutochagua kuwa panya road kama wao. NInakazia: uhalifu haushindwi kwa uhalifu
  20. B

    Naibu Rais Mh Rigathi Gachagua: Tunaingia ofisini Kenya ikiwa na serikali imefilisika kifedha na kiuchumi

    13 September 2022 Nairobi, Kenya HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…