ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  2. JamiiForums Tanzania Trump alisema asikute huo uchafu hapo, hao mateka waachiwe kabla hajafika ofisini, na tayari HAMAS wamekubali

    Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo ukanda huo...... Hamas has accepted draft agreement for Gaza ceasefire and hostage release, officials...
  3. JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Hivi nikitaka kujiunga UTT amis ni lazma niende ofisini kwao?? Na je, mfuko gani una return nzuri?
  4. JamiiForums Tanzania Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

    Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri. Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
  5. JamiiForums Tanzania Ajitafutia kiti ofisini na kujiendesha baada ya kustaafu

    GTs, Hakika ukiyasikia ya miaka hii ya utumishi wa umma na kustaafu utashangaa hivi kwanini watu wanang’ang’ania ofisini baada ya muda wa utumishi kuisha? Kuna mtumishi mmoja hapa Dar alistaafu kwenye taasisi moja ya umma, akaongezewa mkataba kwa mfululizo miaka miwili, mwaka wa tatu...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuvaa jezi ofisini kupigwe marufuku

    Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima
  8. V

    JamiiForums Tanzania Taasisi nyingi za serikali watumishi wake hawapokei simu za Ofisini utapiga mpaka uchoke

    Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi basi hutakiwa kupiga simu nakupewa Majibu yatakayo saidia kutatua changamoto Yake. Matumizi ya simu...
  9. JamiiForums Tanzania Guinea: Video ya Baltasar Engonga akifungwa Pingu na kufikishwa Rumande kwa kashfa ya video za ngono ofisini

    Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za ngono zilizorekodiwa kuenea mitandaoni siku kadhaa zilizopta. Engonga amekuwa gumzo kubwa kufuatia...
  10. JamiiForums Tanzania Paul Mselle: Wenye changamoto ya kucheleweshewa “Passport” wafike ofisini watapata majibu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria (Passport) wanatakiwa kufika Ofisi za Uhamiaji waelezee changamoto zao. Amesema hayo wakati akijibu...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wanaoponda 'White-Collar' Jobs: Ajira za Ofisini au hujasoma Chuo Kikuu?

    Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara wa mwezi wakati kuna biashara na fursa za mtandaoni?” Sasa swali linakuja, ni kweli ajira za ofisini...
  12. JamiiForums Tanzania MEZA KUBWA YA OFISINI INAUZWA

    Meza ni kubwa na inafaa kwa matumizi ya ofisi Bei 80,000 Tu ipo Tabata kwa mkuwa 0711707070
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza kubwa ya ofisini 60,000 Tu

    Meza kubwa ya ofisini ipo Tabata kwa mkuwa Bei 60,000 Tu 0711707070
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza na kiti vya ofisini vinauzwa

    Meza kubwa na kiti kisichozunguka Vizima havina shida yoyote Bei 120,000 (vyote kwa pamoja) eneo vilipo Tabata kwa mkuwa 0711707070.
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Karibu ofisini kwetu ujipatie Makonteina bora na ya kisasa

    Bei za October 2025↘ 40ft 6M (Excluded VAT) 20ft 3.5M (Exclude VAT) Call us 0658124288|0625085224 Location Dar es salaam kurasini Tunauza empty container FT20 na FT40 kwa bei nafuu. Ikiwa unahitaji kuhifadhi bidhaa zako, kuanzisha biashara au kupeleka site Kama shambani n.k containers zetu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Leo Septemba 23, 2024 Mbowe yuko Arusha

    Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi chana awasili ofisini, awataka watumishi kutekeleza 4R za rais samia kwa vitendo

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Baadhi ya changamoto Vyuoni ni mbanano wa Wahadhiri ofisini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
  20. JamiiForums Tanzania Madudu ya APP za mikopo online.Wizara husika Mnakazi gani ofisini??? #Wizara ya Fedha #Wizara ya Mawasiliano (TCRA)

    Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika. Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…