Nuksi ya October 29 imeanza kuwapasua wauaji

Nuksi ya October 29 imeanza kuwapasua wauaji

Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 5
Wauaji sasa wanatepatepa wenyewe na sasa wameshia na hakuna mtu anajua nani sasa anaongoza nchi
Nchi hii inaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Kama hujui au huamini hilo fanya "nywi" au "nywinywinywi" uone!!!
 
Nchi imeshapata doa hii ni ngumu sana kurudi katika hali yake ya zamani
mbaya zaidi mambo yanazidi kuharibika kila siku
haya yote lawama na laana wanazo ccm na wahuni wenzao damu walizomwaga 29oct zipo mikononi mwao!
 
Back
Top Bottom