nywele

  1. James Matamgazo

    Ukitaka nywele zako zirudi kama zamani fanya haya...

    Siku hizi imekuwa kawaida kushuhudia vijana wa miaka 20 wanapata vipara. Na changamoto kubwa ni muda wanaotumia kwenye simu. Mwanga wa "Blue Light" ndio chanzo kizima cha wewe kupoteza nywele zako. Neno la kisayansi linaitwa "Energetic Alopecia" Huu mwanga unatengenezwa na Taa za LED. Na...
  2. Bei rahisi Electronicks

    Usafi wa nywele

    Izi nywele za sehemu za siri tunyoe wakuu zinatoa harufu at least tupunguze
  3. bahati93

    Nani amewahi shika nywele za mzungu au Singasinga?

    Mimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu. Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna...
  4. L

    Mjasiriamali kijana wa Tanzania abadilisha nywele kuwa mbolea

    Wakati David Dennis alipoona kwa mara ya kwanza nywele zimetawanyika katika duka lake la kinyozi la shule ya sekondari, hakujua kabisa kwamba nywele hizo zilizotupwa siku moja zitamweka mbele kabisa katika harakati za uvumbuzi wa kijani zinazochipukia. Leo, Mtanzania huyo mwenye umri wa miaka...
  5. Governor of Bettors-GB

    HTC Clipper-Mashine ya nywele

    Ipo DAR ES SALAAM Weka Offer Yako WhatsApp +255 629 526494
  6. Mafyangula

    Kusuka rasta/ ama nywele bandia kunaweza kukusababishia saratani?

    Wanawake na wanaume maana siku hizi hata wanaume nao wanasuka rasta kuna jambo muhimu sana la kulifahamu na kujifunza zaidi! Afya ni moja ya mtaji mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku bila kuwa na afya njema basi hilo ni tatizo ============ Je unajua kusuka rasta/ ama nywele bandia...
  7. Lord Denning

    PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  8. Dalton elijah

    Wigi za Nywele Bandia Zinabeba Mikosi

    Mwanamuziki wa Uingereza na aliyewahi kushiriki Britain’s Got Talent, Natalie Okri, amezua gumzo baada ya kudai kuwa baadhi ya wigs za nywele halisi huleta mikosi na bahati mbaya. Katika video aliyopost Instagram, Natalie alisema: • Nywele halisi zinabeba utambulisho wa mtu, zina DNA (vinasaba)...
  9. secretarybird

    Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

    Uchaguzi wa October ni feki! Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini. Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile...
  10. J

    Kuwa na Nywele Fupi au Ndefu Kwenye Ibada kwa Jinsia Zote Mbili

    Kuwa na Nywele Fupi au Ndefu Kwenye Ibada kwa Jinsia Zote Mbili Kumekuwepo dhana mbalimbali kuhusu hali ya nywele, wakati wa ibada. Majibu ya dhana hizo yanapatikana kwenye maandiko. JINSIA YA KIUME Kuhusu jinsia ya kiume, Biblia inasema mwanaume hapaswi kuwa na nywele ndefu kwa sababu kichwa...
  11. K

    MASHINE ORIGINAL YA KUNYOLEA NYWELE YA KUCHAJI (wireless)

    Habari wana jukwaa, ninahitaji kununua mashine ya kunyolea nywele. Ipi ni bora? Kampuni gani? Nawezaje kutofautisha mchina na OG...nimeona baadhi KEMEI 2299, 2293... kiufupi niko hapa kuelimishwa ili nipate kilicho bora.
  12. Camilo Cienfuegos

    Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

    Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana. Naona nikinyoa kipara kama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado. Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
  13. MK254

    Video: Kule Iran Mwanamke amfumania mwanaume wa kidini akimchukua video hospitalini kisa hajasitiri nywele

    Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila mwanamke ambaye hajasitiri nywele. https://www.youtube.com/shorts/1PpnRkoqkqU
  14. Think2

    Umeshawahi kupita pahala usiku nywele zako zikasisimka sana

    Wajuvi wa mambo wanasema kwamba hali ya nywele kusisimka unapopita mahali fulani usiku jua kuwa hio sehemu sio nzuri huenda kukawa na washirikina mahali po au majini Je? wewe ushawahi kuhisi hivyo baada ya kupita sehemu wkt wa usiku
  15. Ricky Blair

    Je wajua Ireland wana festival ya watu wenye nywele nyekundu?

    Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.
  16. S

    Fahamu umuhimu wa kutokunyoa nywele za kwapani na zinazozunguka eneo la haja kubwa

    Mungu siyo taahira kuumba nywele katika maeneo zinapopatikana. Ameziweka kwa kazi maalumu ktk kila eneo. Nywele za kwapani na katikati ya makalio kazi yake ni kupunguza joto na jasho ili kuepusha fangasi kujenga kambi maeneo hayo. Unapozinyoa unasababisha makalio na vikwapa kujifunika kabisa...
  17. The redemeer

    Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi

    📣📣📣📣📣📣📣📣 Nguvu ya kucha na nywele katika ulimwengu wa kichawi 🗣️Leo nimeona ni vyema niwaletee makala hii fupi kuhusiana na kucha na nywele zinavyo husika katika ulimwengu wa kichawi ulimwengu huu ni mpana sana, basi bila kupoteza wakati twende sawa. 👉Nywele na kucha zinaaminika kuwa na nguvu...
  18. Leejay49

    Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

    Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie, Wiki...
  19. R

    Kwanini wadada wa kiafrika wengi mnachukia asili ya nywele zenu ? mmekazana na mawigi, weaving, rasta, n.k. Please acheni kujichukia, love yourself.

    Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani. Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba. Nywele zinavyovutwa...
Back
Top Bottom