nyuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuzi nyingi za kisiasa zina muelekeo wa kinajimu

    Habari wana JF, Nimesoma nyuzi nyingi za kisiasa humu ndani lakini maudhui yake ni ya kinajimu zaidi. Mara utasikia chama hichi kitashinda mara kile kitapata wabunge wachache na kadhalika nakadhalika. Tuwaachie wanajimu kazi yao, tusubiri 28 October. Jiratibu.
  2. Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama. Kada huyo alilazimika...
  3. Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…