nyumba

  1. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga mjini

    Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara. Ina vyumba sita (6) Sebule Choo ndani Fremu moja ya biashara Maji + Umeme Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

    Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni. Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba elewa kwanini mchepuko hashuki thamani

    Naongelea sehemu ya falagha tu Mchepuko anajiandaa kwa show Mchepuko unajua mapenzi ni uchafu haoni ajabu kunyonya diki hauoni ajabu kuipaka mate diki ya mzee ipenye vizuri, haoni ajabu kutoa denda, mchepuko anajituma kwenye kitanda utasema leo ndio mwisho wa dunia hakuna kiburi chochote...
  4. JamiiForums Tanzania Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini

    Ninawasalimieni. Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini, sifa ni hizi zifuatazo: 1. Bajeti 250,000/= mpaka 300,000/= 2. Muda wa kulipa ni miezi mitatu au chini yake. 3. Mahali-:Area A, Area C, Area D, Makole, Meriwa. Yuke yuko na access na hiyo kitu, karibu inbox!
  5. JamiiForums Tanzania Nimempa chumba cha nje ndugu yangu (21) kazidisha umalaya, je arudi Nyumba Kuu

    Ni mtoto wa shangazi yangu alimaliza form 6 mwaka jana, alipata chuo cha SAUT hapa Mbeya hakukipenda so kabaki hapa kwangu na tayari kakubaliwa kuanza mwaka huu chuo anachokipenda Sasa ishu iliyopo ni kwamba nina nyumba ambayo ina nyumna kuu na vyumba viwili vya nje. Aliniomba akae vya nje...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa kupiga plasta nyumba ya gorofa

    Wadau, natafuta fundi mzuri sana wa kiwango kwa ajili ya kupiga plasta. Site iko Kigamboni, Dar es Salaam. Please, weka namba hapa Asanteni.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Mbagala

    .
  8. JamiiForums Tanzania Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

    Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza. ======= NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa milioni 5 naweza kujenga nyumba ndogo Dodoma?

    Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani? NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba 12 inauzwa Tabata; wahi tufanye biashara

    Nyumba ya kupanga inauzwa Tabata Reli karibu na ukumbi wa mikutano wa Blue Sky. Sifa; Ina vyumba 10 vya kupanga Ina parking ya Gari 1 ndani special kabisa Ina maji na umeme hati ya nyumba ipo na hakuna mgogoro wowote. BEI NI MILIONI 85. MAELEWANO YAPO. Picha nitatuma whatsapp maana hapa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya finishing nyumba yangu, niwe kama na shilingi ngapi nifanikishe kila kitu?

    Nataka kufanya finshing nyumba yangu hy niwe kama na shilingi ngapi ili nimalize kila kitu naomba msaada wenu wana jamvi
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais kung'aka, Mkurugenzi TAKUKURU awang'ata watumishi 9 waliohusika ujenzi/usimamizi wa majengo 7 ya TAKUKURU

    TAKUKURU NG'ATA... Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa. ===== Hapo jana...
  13. JamiiForums Tanzania Thamani ya nyumba itathminiwe vipi jamani? Kwa gumzo au kwa kutumia Quantity Surveyors?

    1. Thamani ya Nyumba inatathminiwe vipi jamani? Kwa GUMZO au kwa kutumia quantity surveyors? Hivi CAG si huwa anakagua mpaka value for money na Quantity Surveyers QS wake? PCCCB nao wakichunguza pia si wana kila idara namaanisha mpaka QS wakiwemo? Inakuwaje CAG hajaona hiyo changamoto na...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe USA walianza na nyumba za Tembe pia?

    Hii ni Phoenix, Arizona mwaka 1870, leo hii ni Makumbusho, ...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana laana mbaya sana na ambayo itamgusa mpaka Baba Mwenye Nyumba

    Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni. Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayependa kuishi Uswahilini. Hata sisi Waswahili tunatafuta nyumba na viwanja mbali na Uswahili

    Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba self contained na gate kabisa mlangoni, ukiingia na gari yako hakuna mtu anaejua maisha yako...
  17. JamiiForums Tanzania House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  18. JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba imetaka kumliza mtu, tuweni makini

    Kuliluwa na stress za kodi ya nyumba ya mama mwenye nyumba, na pesa ilikuwa imeshapatikana kwa ajili ya kulipwa, khafla meseji hiyo ikaingia. Jamaa akataka kuituma lakini roho ikasita, kumfata mwenye nyumba kasema hiyo meseji haitambui na wala hajatuma meseji hiyo na wakati matukio ya kuzoza...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mjane wa aliyekuwa Jaji wa Zanzibar, Marehemu Mkusa Isack Sepetu anatafutwa baada ya kuharibu nyumba ya shirika la nyumba Zanzibar

    Wakuu naomba tujadili suala hili kwa kina. Huyu Mjane alikua anaishi kwenye nyumba ya serekali. Baada ya mumewe kufariki alipewa notisi ya kuhama. Alifanya jitihada kubwa ya kuiomba Serikali imfikirie na imuachie akae katika nyumba hio ambayo inaonekana walitumia gharama kubwa kuiremba na...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu sogeeni mjionee finishing nzuri katika nyumba zenu

    Nashugulika na urembo wa Mouldings katika nyumba kama ionekanavyo hapa. Nipo DSM na nafanya kazi popote alipo mteja. karibuni sana 0719999526
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…