nyumba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

    MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa. Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
  3. JamiiForums Tanzania Utata kwenye nyumba tuliyopanga

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ndugu zangu kuna mpangaji mwenzangu naona kabisa sio mtu mzuri kwanza anazungumza sana kuhusu uganga na mambo ya kuogofya kwenye simu tena kwa kupayuka kingene pindi ana hamia alikuja na vidada viwili miaka 17 na 18 tukajua ni nduguze ila sio nduguze kumbe...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba inaitajika

    Nahitaji Nyumba ya kununua ofa ni milioni 10 Lazima iwe ndani ya mkoa wa Dar. Maeneo ya Bondeni ❌ Piga simu usitume sms 0749979776
  5. JamiiForums Tanzania Teknolojia mpya ya 3D kuchapa nyumba

    Dunia imeingia kwenye teknolojia mpya ya kuchapa nyumba badala ya kujenga, teknolojia hii inaitwa 3D HOUSE PRINTING, badala ya kujenga sasa unatumia printa inafanya kazi kama printa ya kawaida japo yenyewe wino wake ni kama zege! Hii mashine inamwaga zege kwa kuzunguruka kufuatana na ramani ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Napata wapi ramani ya kujenga nyumba?

    Nyumba ya vyumba vitatu
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako?

    Je umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako na kwanini?
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi azuia mchakato wa kutaka kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga

    Baada ya Mdau kuelezea kuhusu mchakato wa kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Serikali imechukua hatua ya kusitisha mchakato huo, malalamiko ya awali soma hapa ~ Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Michango ya ujenzi wa nyumba za ibada idhibitiwe!

    Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina. NB: Hawana utambulisho wowote
  10. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  11. JamiiForums Tanzania Vipi huko kwenye nyumba za kupanga hivi ratiba za usafi zinafuatwa?

    Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
  12. JamiiForums Tanzania Ughaibuni kuna majini wengi majumbani kupelekea nyumba nyingi kutelekezwa

    Ushawahi kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa. Na rafiki yangu ni mganga ambaye hupata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo. Unaambiwa alifika Oman ile nyumba walikuwa wana naswa vibao sana na hawafahamu ni nani na kila mtaalamu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Malela, Tuangoma (Kigamboni) tunaishi kwa mashaka sasa

    Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe? Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa! Muda wote mlikuwa wapi kuzuia watu wasijenge kwenye hayo maeneo? Naomba serikali iangalie kwa jicho la pekee wananchi wake...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wakala wa rangi za nyumba (plascon)

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Michamvi, Zanzibar

    Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel Price: 33,000,000/= Tshs Contact: +255742004658 (WhatsApp only) •Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained •Sebule •Dining room •Jiko •Kifusi ndani kishajazwa •Shimo la choo tayari limechimbwa
  16. JamiiForums Tanzania Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

    Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakaidi agizo la mbunge kubomoa Nyumba zao Sengerema

    Wananchi wa Jimbo la Sengerema kata ya KISHINDA Kijiji cha TUNYENYE wamekaidi agizo la Mheshimiwa Mbunge wao Ndugu Hamis Tabasamu Mwagao kubomoa Nyumba zao kwa hiari. Hii ni kutokana na ukweli kuwa,kuna upanuzi wa barabara inayoendelezwa na (TANROADS)ambayo ilikuwa chini ya TARURA...
  18. JamiiForums Tanzania Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nyumba na makazi bora kwa raia yenye kuleta tija kwa maendeleo ya taifa letu

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi, hii inafanya kuwa na ongezeko kubwa la...
  20. JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…