nyumba

  1. Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

    Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema. Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika harakati za kutafuta nyumba, kuna vitu nimejifunza na vingine nimeshachelewa nimejikuta najuta tayari niko...
  2. G

    Watoto msiwasasahau baba zenu, mlideka kwa kwa mama lakini huruma sio malezi, Jukumu la baba kuwa kiongozi hapa Afrika sio jambo jepesi.

    Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
  3. NYUMBA AMBAYO BADO HAIJAISHA INAUZWA

    .
  4. Nini chanzo cha nyumba nyingi zinazojengewa Tanzania kubaki mapagala yaliyogeuka magofu?

    Katika mambo huwa yananishangaza na kunifikirisha sehemu mbalimbali za nchi hii ni uwepo wa majengo mengi ya nyumba za watu walionza kujenga kubaki bila kumaliziwa(mapagala) kwa muda mrefu sana na hatimaye kugeuka magofu. Tatizo huwa ni nini? Ni ujenzi wa kukurupuka? Ujenzi bila kuwa na...
  5. Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

    Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba. NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
  6. L

    NYUMBA YA KISASA GOROFA MOJA INAUZWA KWA BEI NAFUU

    NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA. Location : Goba TAARIFA ZA NYUMBA 1) GOROFA YA JUU --- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa. ---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
  7. Naomba kujuzwa gharama ya kujenga hii nyumba

    kujenga kama haka hadi finishing kanaweza kugharimu kiasi gani? kwa bajeti ya kawaida tu?
  8. Nahitaji nyumba maeneo ya Masaki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
  9. Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

    Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa, Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami, Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni, Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1 0656077998
  10. Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba ipo umbali wa km 1 kutokea Goba centre, ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 462, nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 1, dining jiko stoo na vyoo 2 0656077998 Inauzwa 90mil
  11. Mfumo bora wa kusimamia nyumba za wageni wa kipato cha chini na kipato cha kati

    Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi. Nyumba za wageni...
  12. K

    Tuzungumze kuhusu ramani ya nyumba ndogo ya kuishi

    Ghawizah, Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo. ♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning. ♤ Iwe na public toilet. ♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo . ♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
  13. Usijenge tu ili nawe uwe na nyumba

    1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka. Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza. Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli...
  14. Kwanini nyumba ikifika hapa inakuwaga ngumu kumalizia?

    Nguvu ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi san,a kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyuma nini shida?
  15. Weka dirisha la dharura kwenye nyumba yako, nyumba siyo gereza

    Image source: Pinterest Nyumba si gereza. Kutokana na mfumo wa ujenzi wa sasa ambapo tunaweka chuma kila dirisha na baadae tunavisha madirisha ya vioo (Aliminium) ni mihumu kuweka dirisha la dharura ambalo halitakuwa na chuma au likiwa na chuma ziwe ni slide pia. Naandika andiko hili baada ya...
  16. We do design and constrution

    One of our project at kibada kigamboni We do building design We do constrution at affordable price We do consultation Call /whatsap 0624004650 Office Sinza
  17. Z

    Nahitaji nyumba ya kupanga.

    Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence. Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho) Segerea (Magereza hadi Petroleum station - kona baada ya stand kuu Segerea). Ukonga - Magereza, Madafu, KM...
  18. Wakazi wa dodoma nawapa offer ya urembo wa nyumba kwa bei kitonga sana

    Ni urembo safi wa nyumba yako.angalia samples hapa.... ..nguzo 40000 ..dirisha 35000 ..kona40000 .. skirting 150000 Karibuni nyote 0719999526
  19. Mama wa nyumbani anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni au kazi yoyote.

    Mama mtu mzima ,umri miaka 40 anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni ,au kazi yoyote halalI ajipatie kipato,. MahalI popote pale hata kijijini.yupo tayari
  20. Tabia ya kutembeza wageni kwenye nyumba mpya!

    Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya. Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani. Kimsingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…