nyumba

  1. LGE2024 Missenyi: Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo aomba kura nyumba kwa nyumba

    NYUMBA KWA NYUMBA MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AKIHAMASISHA NA KUOMBA KURA ZA NDIYO KWA WAGOMBE WOTE WA CCM. Tunaendelea kuhamasisha Wananchi na Wanachama wote wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha tunatafuta kura ili kukipa ushindi chama cha Mapinduzi CCM “Wajibu wetu ni kuwakumbusha tu...
  2. We do design and construction services

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
  3. U

    Kuvuja kwa kofia za nyumba

    Katika nyumba; 1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja? 2. Nini suluhisho lake? Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.
  4. Ukitaka Mwanamke atoroke kwa Nyumba, kula hii mbichi

    UKITAKA MWANAMKE ATOROKE KWA NYUMBA KULA HII MBICHI
  5. House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

    Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis Njia ya kwenda Goba Eneo lina SQM 400 (20×20) Nyumba ina umeme na maji Nyumba ina vyumba vinne. Finishing haijakamilika vizuri. Dakika 10 tuu mpaka barabarani Inahitajika milioni 36 tu...🔥 ☎️ +255 783755971 Karibuni sana
  6. Mama aliyejitolea kukumbatia watoto njiti akabidhiwa zawadi ya Nyumba, abubujikwa machozi baada ya kufanyiwa suprise

    Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel imemkabidhi nyumba ya makazi Mariam Mwakabungu (26), aliyejitolea kukumbatia Watoto Njiti katika Hospitali ya Rufaa Amana jijini Dar es Salaam, yenye thamani ya Shilingi milioni 45, iliyopo Chanika – Zavara. Mariam...
  7. Majengo mengi Kariakoo yanapaswa Kubomolewa haraka! Nyumba za Makazi zimegeuzwa Stoo za Mizigo mizito

    Ubovu wa Majengo ya Biashara Kariakoo: Hatua za Haraka Zinazohitajika kutoka Serikalini Kariakoo, mojawapo ya maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na changamoto kubwa ya majengo mabovu. Majengo haya, ambayo awali yalijengwa kwa matumizi ya makazi, sasa...
  8. Kuepusha majengo kuanguka hivyo; Itungwe Sheria ya nyumba na kanuni za ujenzi

    Sheria zilizopo za maendeleo ya miji si mahususi kama Kanuni za Ujenzi, Wakati sheria zilizopo zinahitaji tu jengo kupewa cheti cha kufuata taratibu baada ya kukamilika, Kanuni zinataka jengo lipate uthibitisho kama linastahili kwa makazi ya binadamu au la. Sheria zilizopo ambazo ni pamoja na...
  9. Tusifikie kuulizana kadi za vyama kwenye nyumba za kupanga

    Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa mbele Watanzania tuitunze amani hii ndogo kama chembe ya haradani amani hii ndogo ndio inafanya wewe...
  10. R

    Tanroads wekeni Bicons kuonesha mwisho wa road reserve hasa mijini kuwatahadhali wananchi wasijenge kuepuka kuwabomlea nyumba

    Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves! Itasaidia sana kuepusha majoniz kwa wananchi linapokuja suala la kubomolewa nyumba zao.
  11. Respect kwa "mabigi" wote nchini. Mwili nyumba ina maana kiuhalisia

    MMESHAELEWA, NIANDIKE KIPI ZAIDI??
  12. PreGE2025 Dkt. Tulia Ackson akabidhi nyumba kwa Mkazi wa Mbeya kupitia Tulia Trust

    Wakuu Kama ilivyo kawaida kipindi cha uchaguzi, zawadi za kimkakati ndizo hutawala kwa Wabunge kuelekea uchaguzi. Leo, tarehe 11 Novemba 2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia...
  13. Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

    Wakuu, huu ni Uungwana kweli? Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia...
  14. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga.

    📖Mhadhara (63)✍️ Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero. 🔘 KERO 1: Kuna mpangaji ambaye akiingia bafuni kuoga, akitoka lazima bafuni mkute mabaki ya dawa za kienyeji. Kila...
  15. Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  16. Dunia ni nyumba ya mafunzo

    Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku usiruhusu mwanamke atoke nje ya lengo ulomletea kwako muweke nyumban alee watoto na wajibu wake wa...
  17. M

    Nyumba inauzwa kibamba mwisho tzs. 60m...Eneo 1044 sqm

    Nyumba Inauzwa milioni 60 maongezi yapo Location📍IPO KIBAMBA NJIAPANDA YA SHULE -Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, Vyumba viwili ni master, dinning room, sitting room, kitchen na public Toilet Nyumba ipo 3Kms kutoka morogoro rd na ipo kwenye barabara ya mtaa (Hondogo) -Plot size Sqm 1044...
  18. Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

    Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri. Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri. Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri. Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…