Habari wadau,
Tunapangisha nyumba ipo Maeneo ya mikocheni Plaza.
Mazingira yake:
Eneo Lina SQM 1,500. Ina ukuta umezungushwa.
Ni Nyumba ya Ghorofa moja.
Ina vyumba 5, sebule, jiko na DINNING pamoja na servant quarter kwa nje.
Parking space kubwa.
Kodi : Million 4 kwa mwezi.
Inafaa kwa...