nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vita nyingine kati ya China na Taiwan yanukia, USA kuingilia kati

    Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan. China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China. Wakati huo huo Biden ameapa kutumia nguvu za kijeshi kuisaidia China ikiwa China itafanya uvamizi. Mamia ya Meli vita...
  2. M

    Marekani angeivamia Iran halafu asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo, halafu Urusi, China, nk ziipatie Iran silaha je, angetoboa?

    Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi. Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani...
  3. S

    Bia ni Safari Lager na Castle Lager tu nyingine ni takataka

    Bia ni safari lager na castle lager nyingine ni takataka tu
  4. Mna macho lakini hamuoni, Rais Samia Suluhu ameweka rekodi nyingine

    Bila shaka mmeona viwango vipya vya mafao kwa wastaafu ambavyo vimetangazwa hivi majuzi. Ikumbukwe kwamba, Rais Samia anasiku 433 madarakani na amefanya mambo makubwa sana kana kwamba amekaa madarakani miaka 5 au 10. Ngoja niwape na hii leo.. Picha linaanza kwamba, Kikokotoo kipya cha mafano ya...
  5. M

    Kipa Diarra wa yanga apewe heshima yake ni habari nyingine

    Nimekuwa nikiona mijadala mbalimbali ikiendelea hapa wakishindanishwa magolikipa diarra na Manura kwamba nani ni bora, Naweza kusema golikipa Djigui diarra kuna vitu vingi sana kamzidi manura achilia mbali kufanya vizuri kwenye ligi ya Tanzania, uyu diarra walio wengi wamekuja kumjua...
  6. Kesi nyingine ya ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 84 yapigwa kalenda hadi Mei 24, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imeahirisha kesi namba 10 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na kesi namba 12 inayomkabili mhubiri huyo na wenzake 84 ili kupisha usikilizwaji wa shauri lingine la mauaji. Katika shauri namba 10, Mfalme Zumaridi anakabiliwa na...
  7. Y

    Kwa mara nyingine Dimba la Santiago Bernabeu leo moto utawaka REAL MADRID vs MANCHESTER CITY nani kucheza fainali?

    Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
  8. Sitakula kwa mama nitilie labda nione nataka kufa na hakuna namna nyingine

    Hi! Naweza nikaonekana nakufuru au naringa. Hapana, huo ni msimamo wangu tu kama wewe msomaji ulivyojiapiza kwenye baadhi ya mambo. Mimi sili kwa mama nitilie.
  9. Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa

    Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa. Watu wanajali sana jinsi gani wataonekana kuliko nini wanafikiria na nini ni msimamo wao. Huu ni utumwa mpya uliopewa jina zuri. As long huvunji sheria za nchi wala kudhalilisha mtu Personal Brand Image ni ulemavu wa fikra. Ukiishi kwa...
  10. Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
  11. Singida: Watu wanne wafariki dunia baada ya Hiace kugongana na Lori

    Watu 4 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa mkoani Singida baada ya basi dogo la abiria aina ya Hiace kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Fuso kwenye barabara kuu itokayo Singida kwenda Arusha Maoni Yangu Hakuna Serikali hii nchi. Nimeconclude!
  12. I

    Mapokezi ya Kinana ni habari nyingine huko Pwani, Watu mamia wakanyagana

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea. Akizungumza na...
  13. Tunisia yadhamiria kupunguza uharibifu baada ya meli inayobeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama

    Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili. Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
  14. B

    Wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC Tanga na Mwanza kupangiwa kazi nyingine?

    Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe. Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
  15. Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  16. Mashindano ya Quran kufanyika sehemu nyingine tarehe 17 mwezi wa nne?

    Wanabido, wote tunafahamu kuwa tarehe 17 mwezi wa nne kutakuwa na mashindano ya Quran uwanja wa mkapa. Siku hiyo hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates ya south Africa hatua ya robo fainali caf confederation cup. Je! Kuna uwezekano matukio haya mawili makubwa...
  17. Kenya unveiled a sixth submarine internet cable

    Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader bandwidth. The launch of the Pakistan and East Africa Connecting Europe (Peace) cable on Tuesday...
  18. B

    Nchi nyingine zinapowahami watu wao, sisi tunakwama wapi?

    Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida: Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani? Wenzetu kama sisi hawa hapa: Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei: Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda? Mama...
  19. Kiingereza ni lugha tu kama nyingine, siyo kipimo cha maarifa

    Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa Afrika hususan Afrika Mashariki bado fikra zetu zinatawaliwa na wakoloni. Kiingereza sio kipimo...
  20. Ajali Morogoro: Gari la abiria lagonga lori kwa nyuma, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo la Oilcom Nanenane. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Fortunatus Muslimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…