nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Jhonier Alfonso Blanco striker mpya wa azam ni Habari nyingine

    Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na...
  2. Nini sababu ya dini ya Kikristo kuwa na madhehebu mengi ukilinganisha na dini nyingine?

    Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
  3. Napinga fainali ya FA kufanyika Zanzibar, Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine wala haina timu kwenye michuano hiyo

    Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar Sisi wapenda...
  4. Maria Tsehai acha upotoshaji kusema Lissu hajalipwa stahiki zake ili achangiwe kununua V8, VXR nyingine

    Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake...
  5. Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

    Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia. Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu.. ==========================...
  6. Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

    Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia. Maswala ya kuona mtu...
  7. Benki Kuu yatangaza nafuu kwa wanaohamisha fedha benki moja kwenda nyingine

    Benki Kuu ya Tanzania imezitaka taasisi zote za kifedha ikiwemoo benki za biashara kupunguza gharama ya wateja kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda Nyingine. Katika barua yake BoT imesema imebaini kuwa kwa sasa watu wanalipishwa gharama kubwa sana kuhamisha fedha Gharama mpya ambazo...
  8. S

    Kuna familia ambazo zinaamini ili utoboe katika maisha basi uajiriwe na nyingine katika kupambana (kujiajiri)

    Kama kichwa cha mada hapo juu kinavyojieleza, kuna familia ambazo zimeaminishwa ili waweze kuendesha maisha nipale wanapokuwa katika ajira ,ama shirika au serikalini. Na familia hizi nyingi zitafanya juu chini kuhakikisha mwanafamila wao unaingia katika ajira ama serikalini au katika taasisi...
  9. H

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  10. Aibu nyingine kubwa kwa Israel

    Baada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere ⚡️BREAKING Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it helps Israel in its next move!
  11. M

    Kufananisha mafuriko ya Rufiji na yanayotokea sehemu nyingine ya nchi ni kutaka kuficha udhaifu wa viongozi na watendaji

    Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji. Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu, 1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa...
  12. Teua-Tengua, nyingine itakuja tu ndani ya miezi miwili ijayo!

    Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu. Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha! Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha! Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu-...
  13. Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  14. G

    Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana. Ukiangalia kwa nje...
  15. Baada ya 'Royal Tour', Serikali sasa yaja na filamu nyingine iitwayo 'Amazing Tanzania'

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Bungeni leo wakati akiwasilisha Hotuba ya kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake kwa mwaka 2024/25 amebainisha kuwa Serikali kutokana na mafanikio ya programu ya The Royal Tour, Serikali imetengeneza filamu nyingine yenye hadhi ya kimataifa ya...
  16. Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  17. Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box. Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini...
  18. Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

    Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako! https://www.livesports088.com/
  19. Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
  20. Z

    Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…