nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

    Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k. Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
  2. JamiiForums Tanzania PICHA: Unadhani mwamba hapa anatoa ahadi gani?

    Ahadi nyingi zinamwaga hapa😂, Sio mbaya ukatupia angalau ahadi moja ambayo itasemwa hapa "Kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu nakuchukulia yale mawigi unayoyaona instagramu"
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!

    Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo. Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
  5. JamiiForums Tanzania Je ofisi nyingi za umma zile kubwa ziko bugged na vinasa sauti na kamera za Siri?

    Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kujichua, faida kiafya na kisaikolojia na mambo ya kuzingatia

    😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia. Faida zinazojulikana Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
  7. JamiiForums Tanzania Rwanda yashika nafasi ya 38 duniani kwa kuanzisha biashara. Yaizidi Portugal, Belgium, Netherlands na nchi nyingi

    Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

    Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi. Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba nyingi kwa wangoni wanawake ndio waendeshaji wakuu wa familia?

    Katika pitapita huku na kule nikaibukia ungonini, huko wanawake ndio wanastendia show katika familia wanaume huko hawana sauti.
  10. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kinachotuumiza Mara nyingi si kile tunachokutana nacho Bali matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu

    Wasalam. Wakuu naomba tuwekane sawa katika hili Ukijaribu kuangalia utagundua kuwa kitu Kinachotuumiza si kile tunachokutana nacho Bali ni matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu Ukiwa na matarajio makubwa na kitu Fulani ndo utaanza kutumia nguvu nyingi kuwekeza akili yako pesa yako na hata...
  11. JamiiForums Tanzania Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  12. JamiiForums Tanzania Chief Godlove Kelele nyingi hata Kenya haujawahi fika, kamdomo hatoki nje ya Tanzania

    Huu ni ukweli sio ubuyu inaonekana waganga wake masharti yao asitoke nje ya Tanzania,
  13. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji design ya dream house yako fuatilia hii mada

    ave thread maana tutapost design nyingi kali hapa from our design gallery, tunapost daily +255624004650
  14. JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    Habari ya asubuhi waungwana Dependency ratio inachukua nafasi kubwa sana Huku kwetu Afrika. Unaweza Kuta Mtu anapesa Ila kunae ndugu anaumwa, anasomesha mtoto wa marehemu shangazi yake, Anauguza Baba yake wa Kambo huku Pia ana mlea Mtoto wa Baba yake mdogo aliyepewa ujauzito na kijana...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2012 shule nyingi zilikuwa zinatoa division one hadi three za kuhesabika. four na zero zaidi ya 90%

  17. JamiiForums Tanzania Nilichogundua, ndoa ni kwa watu wenye akili nyingi sana au wenye akili kidogo. Wenye akili za wastani ndoa hawaiwezi

    Huo ndio mtazamo wangu,hutaki acha
  18. JamiiForums Tanzania Kufuga mmbwa wa kisasa si mchezo budget yake inazidi familia nyingi

    Ukiona mtu anafuga mmbwa aina ya Germany Shepherd muheshimu gharama yake kuwatunza ni zaidi ya pesa unayomuachia mke wako
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa vyombo vya habari: Kumekuwa na sukari nyingi kupita kiasi katika masuala ya jinsia

    Hivi karibuni, vyombo vya habari vimekuwa na nafasi kubwa katika kuunda mitazamo ya jamii kuhusu masuala ya jinsia. Hata hivyo, hali imekuwa ikielekea kwenye upotoshaji wenye ladha ya "sukari ya ziada" kwa upande mmoja, huku ikipuuza upande mwingine. Masimulizi haya mara nyingi huchangia...
  20. JamiiForums Tanzania Gambo na Makonda:Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.

    Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia. Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda nafasi ukudhibitishie yupi ni rafiki wa dhati na yupi ni rafiki wa maslahi na yupi ni adui yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…