nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Vita nchini Ukraine: Droni yapiga jengo la orofa nyingi Odessa

    Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
  2. Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi

    Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi
  3. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  4. KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  5. Yanga bingwa tena, hoja ya GSM kadhamini timu nyingi imezimwa na wamisri.

    Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe bingwa wa ligi. Mungu huyu wa ajabu amezidi kuonyesha maajabu yake kwa mechi ya Simba na Yanga...
  6. Hizi ndizo nchi zenye ndege nyingi za kivita duniani

    Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power. Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake. Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending. Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US...
  7. W

    Tunapigwa kwenye storage devices ? kwanini GB na TB zinazoandikwa huwa ni nyingi kuzidi tunazozikuta na hatuambiwi ?

    64 GB ~59.5 GB 128 GB ~119 GB 500 GB ~465 GB 1 TB ~931 GB 2 TB ~1.81 TB 3 TB ~2.7 TB 8 GB ~7.4 GB
  8. W

    Sijawai kuona chuo Over rated kama SAUT Mwanza, Ni chuo kilichopigwa make-up ya maneno lakini hadhi yake ni chuo cha kati

    Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana. Kitivo cha biashara hakina...
  9. Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  10. Natabiri;Siku sio nyingi tutaanza kubaguana kwa dini zetu

    Wakuu Leo nmetokwa na machozi moyoni baada ya kuona video tatu mtandaoni moja ya padri akieleza jinsi alivyo fuatiliwa na watu wasiojulikana, nyingine mchungaji wa kisabato akidai watu wanaokosoa viongozi wavumiliwe na video ya tatu ni ya Shehe akishutumu viongozi kuacha kugawa watu na...
  11. Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

    Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video) Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
  12. Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika na kamwe hatapata dawa! Mithali 29:1-14

    Huku kwetu Katonto mkoani Rukwa, kila aliyekuwa anapuuza chochote sasa ameanza kuzinduka usingizini! Mamia wamejitokeza kuhudhuria ibada ya Jumatano jioni, wakiwemo wanachama wa CCM ambao kwao Ufufuo na Uzima ndilo kanisa lao, wazee wasiojua chochote, akina mama ambao hawaelewi kabisa masuala ya...
  13. Wanachambua data kwa kutumia tools nyingi sana zifuatazo

    Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo: SPSS, R, Python, STATA, SmartPLS, MATLAB, SAS, NVivo, MAXQDA, 📞 Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo: Simu/WhatsApp: 0687746471/0612607426 Email: bandg.editors@gmail.com
  14. Biashara nyingi za Tanzania ni zama za mawe. Natoa mfano wa mabucha ya nyama

    Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo. Kama unataka za dini zako zipo. Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori. Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida. Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama...
  15. Arusha kumekuwaje kesi mauaji zimekuwa nyingi?

    Kila siku Arusha watu wanauana. Shida wadudu au mlivyo tabia zenu.?
  16. Kwanini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Lissu na hatufanikiwi?

    Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu? Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi. Nina mifano michache ya kutoa: Mfano wa kwanza, kipindi Tundu Lissu anagombea urais wa Chama cha Mawakili Tanzania, nguvu...
  17. Mbona kama mambo yanajirudia!

    Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu. Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye. Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin. Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
  18. Kuongezea(ku-dilute) sabuni ya maji maji iwe nyingi ni upumbavu na ushamba wa kiwango cha juu.

    Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
  19. B

    Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  20. Kingereza kingi na presentation nyingi kwenye makongamano ya Ulaya sio hoja ya kuzuia uchaguzi!

    Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi . Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu. Acheni utoto !
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…