nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana. Sasa sijui ndiyo masharti ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  3. JamiiForums Tanzania Dw swahili: Familia nyingi bado zinatafuta wapendwa wao waliopotea Tanzania

    Nchini Tanzania familia nyingi bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika miezi mitatu iliyopita. Mashirika ya haki za binadamu yanasema mamia ya watu huenda walizikwa kwenye makaburi ya pamoja, huku serikali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Sehemu nyingi Duniani zilifurahia Morocco kufungwa?

    Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  8. JamiiForums Tanzania Uume unaosimama vizuri ni suluhisho la changamoto nyingi kwenye ndoa/mahusiano

    Wanawake wanakuwaga na changamoto za hapa na pale zisizotabirika ila kupitia uume uliosimama vyema huwa tunawatuliza kupitia lile tendo. Mwenye visirani visivyoeleweka dawa yake ni mtinyama. Piga mashine kisawasawa. Kijana tunza sana afya yako ya uzazi. Jiepushe na punyeto. Kaa mbali na porn...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika Samia anatumia nguvu nyingi kutuharibia nchi yetu, Kwanini sio Dkt. Shein?

    Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  12. JamiiForums Tanzania Kipi ni Bora kwako: Kununua nguo/kiatu kimoja brand/OG kwa bei kubwa au kununua copy nyingi kwa bei ndogo?

    Wakuu. Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk? Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000! Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
  13. JamiiForums Tanzania WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution

    WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution fanya hivi 1. Kama bebe 😍 wako anapenda kukagua simu na ww huwezi kuwa na mtu mmoja ushazoea kutangatanga 2. Piga hii code *33*0000# hii code inaitwa code ya call bairing ukipiga hiyo itazuia message na calls zozote kuingia kweny lain yako...
  14. JamiiForums Tanzania Watekaji wana access kubwa ambazo upata taarifa njia nyingi na zengine wanapewa bila lizaa ya mtu.

    Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako. Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa. Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba...
  15. JamiiForums Tanzania Madhara ya kutumia sukari nyingi

    ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi? Sukari ni chanzo cha nishati mwilini lakini ikizidi huanza kuleta madhara badala ya faida Sukari hupatikana kwenye juice za viwandani, Biskuti, keki,pipi, vyakula vilivyosindikwa,chai au kahawa yenye sukari nyingi ⚠️Madhara ya kutumia sukari nyingi ni...
  16. JamiiForums Tanzania Manispaa ya kahama,Ina stendi nyingi na benki nyingi kuliko wilaya zote zilizopo mikoani ambazo sio majiji

    Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini. Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
  17. JamiiForums Tanzania Ili jengo kampuni nyingi za mawasiliano ziliomba kuweka vifaa vyao cha kushangaza waligomewa.

    Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine. Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi. ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha utekaji hamko salama kama mnavyofikili, wakuu wakiamulia kufyekelea mbali wiki mbili nyingi sana

    BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE Naenda kwenye mada . Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa. Najua mnalipwa, kwa kazi hii haramu, kama wahudumu wa afya huweza sikitika nyoyoni mwao pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…