nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ni timu 5 duniani zilizowahi kucheza mechi nyingi zaidi za ligi bila kupoteza

    5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika. Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
  2. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania yana habari nyingi za kupotosha

    Hii habari ya Gazeti la Mwananchi imejaa uongo mkubwa. Inasema mishahara ya paa. Ukiangalia Ile document ya increment inasikitisha kweli sekta binafsi kima cha chini kutoka 120k Hadi 150k gazeti linasema mishahara imepaa. Ivi Kwa dunia ya Leo Nani anaweza kuishi Kwa Mshahara wa 150k. Amini na...
  3. JamiiForums Tanzania Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hakika GENTA anaakili nyingi Sana

    Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kesi nyingi za Ukatili wa Wanawake na Watoto haziripotiwi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ameviagiza Vyombo vya Dola viongeze nguvu kupambana na kudhibiti Ukatili dhidi ya Wanawake, Watoto wa Kike na wa Kiume. Mpango ametaja idadi ya matukio ya unyanyasaji dhidi ya Wanawake yaliyoripotiwa kwa mwaka 2021 yalikuwa 20,897 na mwaka 2020 yalikuwa 28,126...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni nyingi hazina mifumo imara kukabiliana na ongezeko la watumiaji

    Habari wakuu, poleni na majukumu pia. Kuna Uzi alileta mdau mmoja kulalamikia mfumo wa TRA kuwa ifikapo muda wa kufile return Huwa unasumbua na kuchukua muda mwingi kupokea (mfumo kupakia data) hivyo huleta usumbufu kwa watumiaji Hivi pia nmeona makampuni kadhaa nitatolea mfano katika...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Aaaa
  8. JamiiForums Tanzania Aliyegundua kusoma historia ya marehemu siku ya maziko ana akili nyingi sana

    Mwaka fulani nikiwa wilaya moja mkoani Iringa nikifanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Kilolo katika idara ya TEHAMA. Nikakutana na chotara wa kihehe na kizungu kwenye korido, wapo wengi sana Iringa sijui walitokea wapi, zile dizaini ya Hanspope. Binti mdogo wa miaka 21, nikamtongoza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala ubora wa Yanga uheshimiwe kwa sasa vinginevyo timu nyingi zitaumia

    Naona kuna baadhi ya mashabiki ambao wao chuki na husda ndiyo wameviweka mbele, badala ya kuangalia mambo ya kuujua mpira. Hata kama unaichukia timu fulani kwa sababu zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli na hauwezi kubadilika. Yanga kampiga Singida goli 4 lakini kuna wale watu wa umbumbuni...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA walimtukana sana Jakaya kikaja chuma kikawafunga midomo na miguu wakasema bora Jakaya. Siku zinakuja tena sio nyingi watamkumbuka Samia

    Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana. Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala...
  11. JamiiForums Tanzania Kilichochelewesha mradi wetu wa LNG ni siasa nyingi, mimi naumia sana Msumbiji kututangulia kusafirisha LNG

    Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011. Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi. Sekta yetu inakasoro nyingi sana zinazokwamisha maendeleo ya miradi yetu. Siasa iliyokua ikitumika ndio imechelewesha sisi kuanza mradi wa LNG...
  12. JamiiForums Tanzania Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

    Hello Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu. Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB. Yaani nilikuwa naota taasisi hizo tu. Sasa kulingana na maisha ya kifukara na uyatima (Mimi si yatima kabisa nina...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa pisi nyingi kuliko mwenye gari

    Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo. Yes mapenzi ya sasa ni pesa lakini lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Nigeria: Naona safari hii wameamua kuongonzwa na vibabu vilivyokula chumvi nyingi

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo. Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
  16. JamiiForums Tanzania Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

    Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo. Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika...
  17. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Muokoaji Majaliwa asingekuwa Shabiki wa Yanga SC akina GSM na Klabu ya Yanga ingempa hizi Fedha nyingi nyingi?

    Gharib Said Mohamed (GSM) bhana kwahiyo Wewe siku hizi umekuwa ni wa kutafuta tu Sifa kwa Watanzania hasa Kupitia Matatizo, Maafa na Majanga yanayowakumba? Kama kweli GSM unapenda Watu na una Huruma mbona zaidi ya mara Sita (6) umeletewa Barua za Chama Cha Wachezaji wa Zamani (ambao hawana...
  19. JamiiForums Tanzania Tataizo la jeshi letu siasa zimekuwa nyingi na pia wanaenda wasomi waliofaulu vizuri ambapo wanasaka vyeo tu

    Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi. Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake. Imagine mtu ana div one tena PCB...
  20. JamiiForums Tanzania Mvua zitaanza kunyesha Kuanzia tarehe 18 Mpaka 26 Mwezi huu ingawaje hazitakuwa nyingi

    MVUA ZITAANZA KUNYESHA KUANZIA TAREHE 18 MPAKA 26 MWEZI HUU INGAWAJE HAZITAKUWA NYINGI Anaandika, Robert Heriel, Mwanajiografia Hali ni Tete Kwa sehemu ya nchi kuwa na uhaba wa mvua. Hii ni kusema kuna janga la ukame kinaendelea. Kijiografia Mvua zilipaswa zianze mwezi mmoja baada ya jua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…