Nimepata ndinga mpya nataka nipige hizi ngoma za fally ipupa sababu nimeshajipata naombeni mnitajie zile Kali ambazo nikipiga kwenye ndinga yangu nitajiona Nipo dunia ya peke yangu bosi ya mboka mutu mukubwa
Habari wana JF,
Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika.
Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
Huyu hapa ndo mume Mtarajiwa wa Muimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa.
Na hapa ni alivyo fika kwenye send off nyumbani Kwa akina Miriam.
Ndoa ni furaha ndugu zangu si mnajionea wenyewe Kwa Wana ndoa hapa.
Kuna mkasa hapa niliwapa ambao age ikishafika ndio basi katika mahusiano.
Katika nyimbo zangu pendwa hii nyimbo nilitumiwa kipindi kabla sijajua umuhimu wake kipindi hiko kama salamu za barua nyimbo fulani.
Ila Nimeishia kulia na umri uwezi kurudi nyuma wala wakati.
Nimekubali nilikosea...
Moja ya jambo la kushangaza ni Msanii wa Hip-hop, Izzo Business kuachia kibao akishusha mistari kuwachana wasanii wenzake waliokuwa hawapiganii haki za wananchi badala yao walirundikana kwenye semina na kampeni za chama kimoja kama mchwa.
Badala ya kupinga vikali matukio yaliyokuwa...
"Leo" by Harmonize featuring Mbosso, produced by Mafia, is a heartfelt Bongo Flava love anthem that captures the raw honesty of falling deeply for someone at the most unexpected time.
Harmonize opens the song with a nostalgic confession, remembering the first moment their eyes met, the...
Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo.
1. Prof. Jay - Nang'atuka
2. Juma Nature - Nini Chanzo
Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa
Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi
juzi huko.
Je wataua na kuteka wangapi?
Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha
Haya mambo yanamwisho.
Rose Muhando alikuwa mbele ya muda.
Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu.
Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
Wakuu
Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya ku-cancel show za ndani, kuahirisha kutoa albamu, na hata nyimbo zao walizotoa zimedoda huko...
Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
Ni wakati wa kujifunza maneno na kitunga nyimbo leo nitawaletea maneno yenye nguvu kutoka kwa wenzetu waliopitia magumu na kuvunja ukimya na minyororo yao.
Hizi nyimbo zinazungumzia kila shida tunayopitia kuanzia utekaji, ukandamizaji wa sauti mbadala hadi ubovu wa serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.