nyasa

Nyasa (English: placing; literally, "deposit" or "setting down") is a concept in Hinduism. It involves touching various parts of the body while chanting specific portions of a mantra. This imposition of mantras upon the body is considered as the assigning or locating of divinity inside one's own body. For example, nyasa is part of the equipment of a sculptor as a sādhaka and yogi.Each mantra is associated with a specific nyasa. There are various types of nyasas, the most important of them being kara nyasa and anga nyasa.
The number seven is commonly written before nyasa mantras in ritual handbooks, indicating that the seven bijaksaras (sacred letters) should be recited before the mantra.Srividya followers practise matruka nyasa.

View More On Wikipedia.org
  1. Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

    Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana na taarifa sahihi za kiuchunguzi. Jana niliingia Instagram, kwenye post ya CIA, nikakuta wameweka...
  2. M

    Chakwera anaamini Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi, huyu anawezaje kutusuluhisha?

    Tumesikia kuwa Jumuia ya Madola imemtuma Chakwera, rais wa zamani wa malawi kuja kusaidia kuleta maridhiano nchini, Hata hivyo Chawera amekuwa akitoa msimamo kuwa ziwa nyasa lote ni mali ya malawi, mtu wa aina hii asiyeamini hata territorial integrity ya nchi yetu anawezaje kuja kutusuluhisha...
  3. DC wa Nyasa awataka Wananchi kutambua umuhimu wa Lishe Bora, asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi kutambua umuhimu wa lishe Bora kwa afya ya mwili wa binadamu kwani ni Msingi wa mambo mengi ikiwemo kufanyakazi na kufikiri sawasawa. Mhe.Magiri ameyasema hayo wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika mwanzoni mwa juma...
  4. DED Nyasa akagua miradi ya Sekta ya Afya na Elimu yenye thamani ya Sh Milioni 582,017,569

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni sehemu ya kuhimiza ukamilishwaji kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha...
  5. GE2025 John Nchimbi aongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa

    Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
  6. GE2025 DC Nyasa aanza kampeni mapema amnadi Mgombea Ubunge, kata kwa kata

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri akizungumza na Wajumbe na baadhi ya WanaCCM kuhusu mchakato wa Ubunge katika Jimbo la Nyasa Mkoani Ruvuma. Amesema walipokea takribani majina ya Watia nia 20 na akiwemo Eng. Stella Manyanya, John Nchimbi, Gerad Komba (Mtoto wa marehemu Captain...
  7. Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

    Tafsiri isiyo rasmi Jamhuri ya Malawi Taarifa kwa Umma Wizara ya Mambo ya Nje inapenda kuujulisha umma kwa ujumla kwamba, baada ya mashauriano ya kidiplomasia ya kina na kwa kuzingatia mifumo ya kisheria ya kimataifa, imefikia makubaliano ya kihistoria na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  8. Viongozi wa dini kemeeni shambulio la kigaidi la silaha za kikemikali ofisi za CHADEMA Nyasa

    Wana CCM nawaomba sana na kuwasihi Viongozi wa Dola wazalendo nawaomba na kuwasihi sana . Suala hili naombeni lisichukuliwe ni jambo la kawaida, la kupuuzwa kama ambavyo VIFO vya Akina KIBAO vimepuuzwa !!. Niwaombe sana Wazalendo wote Kwa pamoja KEMEENI hili mara Moja, Kemeeni hili Moja...
  9. PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  10. PreGE2025 Wazee wa Nyasa wamshukuru Rais Samia kwa kumteua Dkt. Nchimbi kuwa Mgombea mwenza Uchaguzi mkuu 2025

    Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi ujao na pia Katibu Mkuu wa chama hicho na kwamba kiongozi huyo ni mzalendo wa kweli na mchapakazi wa...
  11. PreGE2025 TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya wa Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma unakamikika kwa wakati na kwa ubora...
  12. Ziwa Nyasa lina zaidi ya aina 600+ za samaki,Zaidi ya aina 400 ni samaki wa mapambo.Je imeshindikana vipi hao samaki kupandikizwa maziwa mengine?

    Hi👋 Kulingana na ripoti ya utafiti wa mwaka 2011,asilimia 15 ya aina za samaki wa maji baridi duniani wanapatikana ziwa Nyasa ambapo kuna aina ya samaki tofauti zaidi ya 600,huku kukiwa aina ya samaki wa mapambo zaidi ya 400 Wakuu niseme wazi kuwa lengo langu nikujifunza na kufundishwa nipate...
  13. B

    MJI WA MAKAMBAKO NDO CENTRE YA KANDA MPYA YA UWEKEZAJI YA NYASA INAYO JUMUISHA MIKOA YA IRINGA ,NJOMBE NA RUVUMA

    Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama...
  14. PISHI: Dagaa Nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

    Hellow Leo nikapata dagaa nyasa wangoni nipo tayari kunikosoa kama nimepika sivyo Kwanza mimi nikawatoa vichwa dagaa Kisha nika waweka jikoni kuwachemsha kwanza lazima uwachemshe vinginevyo huwezi kula Baada ya kuchemsha kwa mda nikawaipua na kuwa weka kwenye chombo Baada ya hapo...
  15. Kumbe si Ziwa Nyasa tu, Rais wa Mexico ailalamikia Google kwa kubadili ramani, ghuba ya Mexico waiita ghuba ya America, huu ni ubeberu wa kimtandao

    Rais wa Mexico ameilalamikia kampuni ya Google kwa kuibadili jina ghuba ya Mexico na kuiita Ghuba ya America. Huu ni mwendelezo wa makampuni ya kibeberu kujaribu kubadili ramani ya dunia bila kushirikisha wadau. Hivi karibuni, kampuni hiyo ya kibeberu ilibeba mzega mzega ziwa lote la Nyasa na...
  16. Google wanasingiziwa, ramani zao hazioneshi Ziwa Nyasa lote kumilikiwa na Malawi ila Tanzania inatakiwa kukomaa na eneo lake la mpaka wa ziwa

    Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi. Ukweli ni kwamba ramani zote za Google (map & earth) hazioneshi hivyo. Mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Malawi na...
  17. Google waichonganisha Tanzania na Malawi, ramani yao yaonyesha ziwa Nyasa lote la Malawi, Wizara ya Elimu Tanzania yatoa onyo kwa mashule yote

    Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi. Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
  18. Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko ziwa Nyasa hii ni kuelekea dabi ya kariakoo kati Simba na Yanga. Je italipa kwa timu ya wananchi?

    Safari ya Nyasa hiyo unaambiwa Mzee Mpili anaenda kufanya jambo huko, Kesho kazi ipo😁🙌 Vipi mambo yatalipa kwa timu ya wananchi Yanga mbele ya watani zao Simba? Tusubiri tuone bandugu. Soma Pia: Kamanda Jumanne Muliro atoa tahadhari watakaoenda kwenye dabi ya Simba na Yanga kudumisha amani na...
  19. Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

    Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo? Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda...
  20. A

    Dr James Zotto anatosha Jimbo la NYASA (2025-2030)

    Msomi Nguli Dr James Zotto (PhD) anatosha kuwakilisha Wana Nyasa bungeni. Hivyo hima wajumbe msituangushe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…