Kuliko kufikiri mambo ya lissu na mdomo wake ambao ndiyo umemponza ni bora twende na wazo zuri la kibiashara tunajua tuna ๐
paste!,lakini pia tunaweza kupata ๐
powder tukaokoa nyanya nyingi aww ambazo huozea mashambani!.......
Hapa suala ni kuzingatia usafi tu,
Ongeza Ginger,garlic kidogo...