nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bahati93

    Nani amewahi shika nywele za mzungu au Singasinga?

    Mimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu. Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna...
  2. R

    PostGE2025 Nchimbi: Kuendelea kuzungumzia ya Oct 29 ni kutolitendea haki Taifa. Tayari Rais ameunda Tume

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo...
  3. ELI COHEN

    VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  4. darautobroker

    Car4Sale Harrier tako la nyani iko sokoni

    Bei/Price TSH 39M Call +255 747 999 927 TOYOTA HARRIER Year: 2008 Engine: 2,360Cc Mileage: 42,000+ Transmission: AUTO Sport Rims Rear Spoiler Fender Mirror 100% Duty Paid Free Registration Exchange Possible
  5. M

    Tume ya Usuluhishi ni kesi ya nyani kapewa ngedere. Wote ni Wana mtandao

    Wajumbe wote wa Tume ni waliokuwa wateule wa JK na Mama Samia. Mtuhumiwa namba Moja ni Mama Samia mwenyewe tena akiwa hana uhalali wa kuunda tume yenyewe. Mama anawadharau sana hadi Wana CCM wenzie wallah. Wale wanaojiita wazalendo niliwaambia mapema kuwa kura zikipigwa tu wameshindwa vita...
  6. darautobroker

    Car4Sale Harrier tako la nyani AKA Gendaheka iko sokoni

    Bei/Price TSH 39M Call +255 747 999 927 TOYOTA HARRIER Year: 2008 Engine: 2,360Cc Mileage: 35,000+ Transmission: AUTO Panoramic Roof Aftermarket Rims Winkers Side Mirrors 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  7. PAYE

    GE2025 Haran Sanga: Nitamaliza kero za nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji

    Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haran Sanga, amepania kumaliza kero ya nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji. Akizungumza na wananchi, Sanga alisema wakulima wengi wa mazao wamekuwa wakisumbuliwa na nyani hali ambayo imefifiza uchumi wao. Ameahidi endapo atapewa ridhaa...
  8. Ashampoo burning

    Ukicheza Na Nyani, SGR Itageuka kama mwendo kasi mkurungezi TRC Kaza mtu hataki apande bus

    Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka...
  9. Teslarati

    Nilisikia sehemu kwamba "TUNATAKA KUVUNA KURA NA SIO MABUA HIVYO HATUTACHEKA NA NYANI" Nikajua utani bwana kumbe njemba zilikua serious.

    Kilichifuatia wakamuuliza ChatGPT "Unaijua katiba ya Tanzania" Robot la sam likasema "Ndio" Wakauliza tena "Tudeal nae vipi" ChatGPT akacheka kwanza, kisha akasema "Got you... huyu kavunja kipengelea A, B, C, piga ban kanisa lake tu" Wakauliza kwa nn kanisa lake? Chat akasema "Si audience...
  10. MoroGent

    FaizaFoxy, Raraa Reree, Depal na Nyani Ngabu ni watu ninaowakubali hapa JF

    Salam sana Wakuu, Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu. Nitafuruhi kama atajitokeza yeyote just kuwaelezea ni watu wa namna gani kimuonekano, kimtazamo na maisha...
  11. Cute Wife

    TANZIA Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu

    Wakuu, Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo. Mhh...... Mungu amlaze pema. Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya...
  12. 4

    Mda wa ndugu zetu wahzabe kuwatafuna nyani wote waliokuzunguka

    Leo sitoi salamu ,ila uwepo wenu wanajf umezingatiwa popote ulipo . Wapo watanzania wenzetu wahadzabe nchini mwetu/ mwao, hawa ndugu zetu ni fisi tu hawamtafuni kwa sababu wanasema anakula watu , hivyo tofauti na fisi ,mnyama yoyoete akipita kwenye kumi na nane zao lazima atafunwe. Na kwao...
  13. Fbn

    Kama uthibitisho kuwa nyani wa kwanza alitokea oldivai gorge basi hawa nyani ndio tunaendelea nao kwenye huu utawala

    Mi kwa sasa siwezi lalamika mzungu,mwarabu na wachina wakituita nyani.Kama tunashindwa hata kuishi kama wao kwa nini tukatae. Mfano leo kuna viongozi wanaweza kuja kubisha kauli zao za nyuma kuwa hawa kusema ila wakionesha wakaulizwa wanakana. Kuna watu hapa JF damu za watu zina...
  14. Nipe Maji

    Afisa afya Makete: Wananchi acheni kula ngedere na nyani mtaambukizwa Mpox

    Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kuepuka tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono sambamba na kuacha kutumia vitoweo vya wanyama kama Nyani pamoja na Ngedere ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Mpox. Kauli hiyo imetolewa na Afisa afya halmashauri ya wilaya ya Makete na...
  15. Full charge

    Wapi nitapata fuvu/mabaki ya binadamu mzungu aliyekuwa nyani kabla ya kuwa modern man?

    Wakuu ntangulize shukrani kwa wajuvi wa mambo,nikili tu kwamba mimi somo la history nilikuwa mweupe. Ila nakumbuka kama vile fuvu la binadam-nyani wa kale linapatikana Afrika mashariki. Olduvai George (mtanikosoa) Sasa fuvu hili ni wazi ni la mwafrika au mtu mweusi,sasa swali langu ni je fuvu...
  16. T

    Nyani haogopi mwanamke wakikutana porini je wajuwa kile kitatokea katika safari ya porini?

    Siku moja babu yangu alinisimulia hadithi hadithi ambayo mpaka leo naitafakari. Babu yangu alinisumulia umuhimu wa mtoto wakiume ktk familia na kwa nini kila alipo kuwa akimuagiza mama alimwambia nenda na Yusuph. Historia ya kijiji chetu kina manyani wengi na sio kwamba niwengi ila niwakorofi...
  17. Waufukweni

    Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

    Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao. Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi...
  18. Loading failed

    Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

    Ndugu zangu. 1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi...
  19. PLOII

    Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  20. USSR

    Kanisa katoliki latoa tahadhari ya homa ya nyani

    Barua hii hapa USSR
Back
Top Bottom