nyamagana

Nyamagana District is one of the seven districts of the Mwanza Region of Tanzania. It is bordered to the north by Ilemela District, to the east by Magu District, to the south by Misungwi District and to the west by the Mwanza Bay of Lake Victoria. Part of the region's capital, the town of Mwanza, is within Nyamagana District. The district commission's office is scheduled to be re-located to the Mkolani area of Mwanza town, but currently it is still in the old city hall in the centre of town.
As of 2012, the population of the Nyamagana District was 363,452.

View More On Wikipedia.org
  1. Richard Kasubi

    Baraza la usuluhishi wa migogoro ya watumishi wilaya ya Nyamagana - Mwanza

    Habari zenu wana JF...!! Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia. Mawasiliano yangu: 0653717447 Ahsante
  2. M

    Pambalu: Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Nyamagana (Mwanza) ameuawa

    John Pambalu ameandika: Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi. Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
  3. J

    Stanslaus Mabula aliwa kichwa Nyamagana, umekula na wewe umeliwa!

    Ma CCM yamemla kichwa Mabula na kupeleka jina la Nzilanyingi kugombea Ubunge kwenye Jimbo hilo. Japokuwa watu wanaimba kama kasuku, Uchaguzi haupo utadhani kuimba huko kutawazuia watu mjini na vijijini kwenda kupiga kura, lakini binafsi nimefurahi jamaa kuangukia pua Siku ya Uchaguzi wa kura...
  4. A

    KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  5. Just Pray

    GE2025 Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha, ajitosa kusaka ridhaa, ubunge Nyamagana

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza. Masha amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Deogratias Nakei.
  6. P

    KERO Barabara ya mwanza mataa, tuta la stendi ya daladala makoroboi

    Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
  7. A

    KERO Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo - Nyamagana ananyanyasa sana Wafanyabiashara, kuwafungia biashara zao bila sababu

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo, Wilaya ya Nyamagana amekuwa akiwafungia na kuwaamuru Wafanyabiashara kufunga biashara zao akitumia nguvu bila sababu za msingi. Amekuwa akitumia Kundi la Askari wa Jeshi la Mgambo pamoja na Askari Jamii, wakiwafungia Wafanyabiashana maduka yao...
  8. K

    KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  9. kipara kipya

    LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
  10. Masalu Jacob

    Nyamagana: Tujenge reli za kamba za Gari umeme

    Habari yako Nyamagana ! Mnaonaje pakijengwa Gari Umeme zenye kutumia reli za waya kuzunguka Nyamagana. 1. Hii ianzie Mkuyuni - Igogo - Mrungushi - Sahara (Main Station). 2. Hii ya pili iwe Lango lango - Mabatini - Buzuruga - Mahina - Mahina - Mkuyuni . Oya hii itakuwa sawa sana na mji...
  11. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  12. U

    MBUNGE WA NYAMAGANA MWANZA UNAFANYA NINI??

    Habari wadau.Napenda kumpa taarifa mbunge wa NYAMAGANA bwana mabula kuwa ukiondoa matatizo mengi yaliyopo wilaya ya hii ambayo ni kitovu cha uchumi wa mkoa kama ukosefu wa huduma ya maji na barabara mbovu kuna aibu ambayo naomba yeye binafsi aifuatilie.Hii aibuu ya watoto kwenda na magunia...
  13. K

    TAARIFA KWA TARURA WILAYA YA NYAMAGANA- MWANZA

    Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa ujenzi unaoendelea ya barabara ya lami hapa Mtaa wa Mwananchi Kata ya Mahina. Mkandarasi JASCO anatakiwa kujenga madaraja madogo yanayoingia kwenye makazi ya wenye nyumba kando kando ya barabara hiyo. Baadhi ya madaraja hayo amekwishayakamilisha na...
  14. tufahamishane

    DOKEZO Serikali chunguzeni kinachoendelea Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya Nyamagana Mwanza

    Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
  15. A

    KERO Responded Changamoto ya upatikanaji maji kata ya Buhongwa Mwanza-Nyamagana

    Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea. Mradi wa maji wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana

    Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana SERIKALI imesema kuwa Mchakato wa kuanzisha tarafa za Igoma na Mkolani Nyamagana ulijadiriwa na kuithinishwa katika ngazi ya Kata, Baraza la madiwani, Kamati ya Ushauri ya Wilaya na...
  17. Torra Siabba

    Msimamizi uwanja Nyamagana atolewe mara moja

    Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh...
  18. Allen Kilewella

    Mnaomlaumu Amina Kyando mmesahau alichofanya Manyoto Ndimbo pale Nyamagana?

    Ile Gemu pale Nyamagana Agosti 10, 1974, Yanga ilikuwa imefungwa lakini kutokana na kubebwa na Refa Manyoto Ndimbo ikaibuka na ushindi wa mchongo wa 2-1. Amina kafanya makosa ya kibinadamu tu mnapiga makelele kama mnachinjwa. Jee mngeona utopolo alioufanya Manyoto Ndimbo mwaka 1974 pale...
  19. chiembe

    John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

    John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000. Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini...
  20. N

    Aibu! John Heche adai mkuu wa wilaya Nyamagana anachangisha 10k kila mzazi kujenga madarasa

    Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa. Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu. Haya huyo...
Back
Top Bottom