nyakati

  1. MamaSamia2025

    Kiongozi mwenye kuukumbatia umaskini hafai kwa nyakati hizi

    "Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye kauli za aina hii HATUWATAKI. Hakuna ufahari wowote kwenye umaskini. UMASKINI NI LAANA. Ninaandika huu...
  2. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  3. Vien

    Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  4. Penguinelli Cactussini

    Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  5. kavulata

    CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

    Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
  6. Bawabu wa pili

    Boni Yai: Mbowe kunyamaza kimya nyakati kama hizi sio sawa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki ya kuchagua kupumzika kwenye siasa, lakini si sahihi kwake kubaki kimya kuhusu masuala makubwa ya...
  7. curie

    Siku ccm walishindwa kusoma alama za nyakati na kupigwa chini.HAAMINI

    Bado hamshtuki kuwa @ChademaTZ2 ya sasa haina followers Bali diehards Bado mnaamini mbinu za kamata kamata bambikia kesi zitakuwa suluhisho ?
  8. Mshana Jr

    PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

    Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena. Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu Hakuna trendings tena mitandaoni Hakuna 'new subscribers' Hakuna interviews tena...
  9. Pearce

    TANZANIA NA KENYA ni Sibling tunaojionesha hatupendani lakini nyakati za Matatizo tupo pamoja

    Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25. Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani Kwa bahati mbaya hakuweza...
  10. Chibike

    Je Kuna kipindi ambacho WAKRISTO na makanisa wamepitia nyakati ngumu kama hivi Sasa?

    Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi... Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na...
  11. The Burning Spear

    Ukiwa Makini Utagundua kwamba Nyakati zinawalazimisha CCM kuwa wakweli

    GT The world is naked. Hakuna jambo utafanya watu wasijue chaguo ni moja tu uwe mkweli watu wakuamini au uwe muongo watu wakudharau. Ulimwengu huu wa science and Technology kuna vitu vinafaanyika hadi CCM wanabaki midomo wazi wachague moja waache siasa za ujima na stone age. Tofauti na hapo...
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    Yaani mliamini mtaweza kuwadanganya Mababu zetu, Mababa zetu, na watoto pia??? Nyie watu mmeshindwa kusoma nyakati

    Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi. Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi nitulie kwasababu wale sio ndugu zangu??? Mnadhani kila mtu ni mjinga hivyo. Yaani nione wamama hospitali...
  13. ERTUGRUL BEY

    Nyakati Hizi Mbili Mwanaume Unatakiwa Umjali Sana Mwanamke

    Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na nyakati hizo Sehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya...
  14. Mshana Jr

    Nyakati ngumu

  15. Uwesutanzania

    Binadamu akifariki hupendwa sana kuliko nyakati za uhai wake

    Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini? Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani nife ili nianze kupendwa,. Je kwanini binadamu tumekuwa tukipenda sana marehemu na kuwaona wema...
  16. H

    Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi. Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
  17. Lexus SUV

    Ulijisikaje au ulikuwa na reaction gani pindi una angalia movie /series za kutisha sana , hasa nyakati za usiku

    Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili .... Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu Mimi muda huu naangalia ya KUTISHA balaa inaitwa The Strain....yaaaani ni series ya kuhusiana. Na virus na...
  18. M

    Hata nyakati za Biblia watalawa walitumia jela kuonea na kutesa watu

    Mmesahau Yohana Mbatizaji aliwekwa jela kwa kusema ukweli kisha akakatwa kichwa? Paul na Sila waliwekwa jela kwa kuhubiri injili. Msishangae yanayotokea leo kwenye taifa hili na yanamsibu Tundu Lissu
  19. M

    Hizi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wanahubiri kuwa ikiwezekana Wakristo wasilimu ili mradi wapate mahala pa kusali.

    Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao. Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo. Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
Back
Top Bottom